Recent content by Mafiningo

  1. Mafiningo

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Beki kitasa Joash Onyango kwa kuukubali kujiunga na Singida Fountain Gate "hongera sana broo"

    Hongera kwako pia kwa kumpata beki bora zaidi Tanzania
  2. Mafiningo

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu juu ya Mkataba wa Bandari na DP World

    Mpaka sasa sijakutana na mtu mitaani anayesupporthuumpangowabandari.
  3. Mafiningo

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Simba imepanda viwango vya ubora CAF, sasa ni ya 7

    Mbona yanga walikuwaga wanne!?? Au ni viwango gani???
  4. Mafiningo

    JamiiForums Tanzania Serikali haipoi, yapeleka Muswada Bungeni kubadilisha Sheria ya rasilimali za Taifa

    Job angefanya nini sasa wakati hajawai fanya lolote.
  5. Mafiningo

    JamiiForums Tanzania Basi kampuni ya Newforce limepata ajali Kitonga

    Ndugu watanzania tusipoacha USHAMBA HUU wa magari, ajali zitatuandama kila kukicha. Mfano unakuta mtu anasema " hii gari inakimbia sana" huu ni USHAMBA kabisa, watu kama hawa wana zile akili za kushindana barabarani na hatimae kuhatarisha usalama wa wengine. (gari linamwongoza binadamu.) Au...
  6. Mafiningo

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Friji aina ya Boss inauzwa, imetumika wiki mbili tu

    Nakupa laki tatu
  7. Mafiningo

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete atoa maoni Kwenye Kikosi Kazi cha Prof Mkandala

    Ana haki ya kutoa maoni, otherwise watz hatujui tunachopigania.
  8. Mafiningo

    JamiiForums Tanzania Kamanda anayeongoza vita dhidi ya Ukraine akamatwa, amechezea kichapo

    Putin alizionya nchi za NATO kutompa Ukraine silaha za masafa marefu, lakini Marekani ikakaidi na imepeleka mizinga kibao yenye uwezo wa kupiga ndani ya Urusi na Putin hajafanya lolote. Putin alionya kuwa ''atakayempatia Ukraine silaha za masafa marefu atakiona cha mtema kuni.''
  9. Mafiningo

    JamiiForums Tanzania Elizabeth, kabla ya kifo chako uliwahi kuwaomba msamaha watu weusi?

    Dunia haiko fair. Binafsi nadhani ni mihemko kumwaga chuki mtandaoni dhidi ya bidada Eliza. Waafrica tumenyanyasana sana baada ya utawala wa hawa watu kiasi sioni tofauti yoyote. Hebu tuombane misamaha sisi kwa sisi halafu baada ya hapo tudai misamaha kutoka ughaibuni. Aibu zetu.
  10. Mafiningo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pombe na bangi vinawafanya wajione wanaweza ruka kama ndege.
  11. Mafiningo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia akienda kijijni kwao anafikia hotelini?

    Kama kijiji kina hotel ya kumuacomodate president , hicho kijiji kipo vema sana.
  12. Mafiningo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tunaongoza kutengeneza wanawake ambao ni tegemezi (malaya)

    .
Back
Top Bottom