Recent content by Maendeleo Kwanza1

  1. M

    JamiiForums Tanzania Misaada ya corona yafikia bil. 6.726/-

    MISAADA ya kusaidia Serikali kukabiliana na janga la corona imeendelea kumiminika na kufikia zaidi ya Sh. bilioni 6.726, ikiwa ni fedha taslimu na vifaa. Jana Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, alipokea hundi ya mfano ya Sh. milioni 500 kutoka kampuni ya Export Trading Group (ETG) kwa ajili ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Unafanyaje kuimarisha kinga ya mwili kipindi hiki cha mlipuko wa COVID-19?

    ULAJI wa mlo kamili zikiwemo mbogamboga, matunda na maji kwa wingi, imelezwa kuwa ni miongoni mwa virutubisho vinavyoongeza kinga ya mwili katika kupambana na virusi vya corona. Aidha, imetolewa angalizo kwa jamii kuepuka upotoshaji unaoenezwa kwamba kujifukiza ni moja ya tiba ya virusi vya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Anglikana wamshukuru Rais Magufuli kuruhusu ibada

    ASKOFU wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mount Kilimanjaro, Dk Stanley Hotay amesema Watanzania wana kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kumpata Rais Dk John Magufuli aliyeruhusu ibada ziendelee wakati wa tishio la ugonjwa wa corona. Aidha, amewataka waandishi wa habari nchini kutekeleza...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Corona yapunguza wasafiri mabasi ya mikoani Ubungo

    KATIKA kipindi hiki cha kuelekea Sikukuu ya Pasaka, idadi ya abiria katika Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo jijini Dar es Salaam, imepungua tofauti na miaka mingine inavyokuwa. Kipindi cha Pasaka katika miaka mingine kuanzia Alhamisi Kuu na kuendelea kunakuwepo na abiria wengi wanaokwenda mikoani...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bajeti Tamisemi yajikita kwenye afya, elimu

    OFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imeomba bajeti ya Sh trilioni saba kwa mwaka 2020/21 huku ikijikita kuboresha mfumo wa elimu na afya.Akiwasilisha bajeti hiyo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo, alisema...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kujenga zahanati 3 kila Halmashauri nchini

    Serikali imesema kila halmashauri itajengewa zahanati tatu kwa lengo la kusogeza huduma za afya karibu kwa wananchi wake.Kauli hiyo imetolewa leo Bungeni na Wazir wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo wakati akiwasilisha bajeti ya mwaka...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dodoma labadilisha mfumo a uuzaji maeneo Tahadhari ya corona

    Kufuatia tishio la kuenea kwa maambukizi ya ugonjwa wa Corona,Mkurugenzi wa jiji la Dodoma Godwin Kunambi amelazimika kubadilisha mfumo wa uuzaji fomu kwa ajili ya maeneo kutoka njia ya kawaida na kuanzisha mfumo wa kidijitali. Akizungumza na waandishi wa habari April 8,2020jijini Dodoma...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ruwasa katika ushindi unaomtua ndoo mwanamke wa Shinyanga

    Waliofuata maji km. 3, imewajia mlangoni DC akoshwa, aja na ziara ya ushuhuda SERA ya Maji ya Mwaka 2002, inasema asilimia 85 ya wananchi vijijini wapatiwe maji safi na salama ifikapo mwaka 2020, huku mijini kukilengwa asilimia 100. Serikali hivi sasa imeshaanzisha Wakala wa Maji Vijijini...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msajili abaini usiri fedha vyama vya siasa

    OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa imemaliza kuhakiki vyama 19 vya siasa vyenye usajili wa kudumu na kubaini 18 havina uwazi katika masuala ya fedha kutokana na kutokuwa na mifumo sahihi ya kuweka fedha na kumbukumbu ya mapato na matumizi. Aidha, tathimini ya uhakiki huo uliofanywa na ofisi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Urithi wa Karume Licha ya kuondoka fikra zake zinawaongoza Wazanzibari

    IMETIMIA miaka 48 sasa tangu muasisi wa taifa la Zanzibar Abeid Amani Karume, kuuawa kikatili na wapinga maendeleo mnamo Aprili 7, 1972. Wanaopinga maendeleo walimshambulia Karume na kumua akiwa kwenye makao makuu ya chama kilicholeta uhuru cha ASP ofisi ya Kisiwandui. Tamko la Baraza la...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uboreshaji daftari la mpiga kura upo palepale

    Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,(NEC), Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Semistocles Kaijage amesema, utekelezaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu ya pili pamoja na uwekaji wazi daftari upo pale pale. Amesema hayo leo Aprili 8,2020 wakati alitoa mrejesho wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri SADC, Laridhia Usafirishaji wa Bidhaa Muhimu, Kudhibiti Maambukizi ya Corona

    Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), limeridhia usafirishaji wa bidhaa muhimu katika ukanda huo wakati wa janga la homa ya mapafu (Covid-19) ili kuzuia maambukizi ya ugonjwa huo kwa nchi wanachama. Akizungumza katika Mkutano wa dharura wa Maafisa Waandamizi wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania RC Mwangela amzuia Mkandarasi kutoka nje ya Mkoa

    MKUU wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela, ameliagiza Jeshi la Polisi kumzuia Mkandarasi wa Mradi wa maji wa Iyula Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe kutoka nje ya Mkoa huo mpaka atakapo kamilisha vifaa na wataalam watakaomalizia mradi huo. Mwangela ametoa zuio hilo leo mara baada ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema hakuna upigaji NIC

    SERIKALI imesema hakuna ubadhirifu wowote unaoendelea katika Shirika la Bima la Taifa (NIC) na shirika limeendelea kuboresha mifumo yake ya udhibiti wa mapato na matumizi,ili kukabiliana na washindani wake kibiashara katika sekta ya bima. Hayo yalibainishwa na jana bungeni jijini hapa na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania NEC yakabidhiwa magari 12 maandalizi Uchaguzi Mkuu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama amekabidhi magari 12 kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ambayo ni sehemu ya magari 20 yalionunuliwa na tume ikiwa ni maandalizi ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu...
Back
Top Bottom