nimemkumbuka katibu mkuu kiongozi wa kwanza wa inji hii Mzee Timothy Apiyo (Mungu amrehemu).....Yeye alikuwa kila akiletewa mabadiliko ya formula ya maslahi ya wastaafu ,,anayabeza na kuyapotezea wakati yuko katika nafasi... siku nanastaafu mafao aliyopokea akashangaa sana na kuuliza mara bili...
duh nakumbuka 2014 nilichukuaga mtu hapo mori, ndom ikapasuka katika rough road, nilimeza PEP bila kupenda mwezi mzima, dawa zinazingua zile, sina hamu nao tena hao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.