Recent content by madunda boy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Bodi ya Mikopo (HESLB) imekosa Wataalamu wa IT?

    Hivi ni kweli kwa taasisi kubwa kama board ya mikopo imekosa wataalamu wa IT wakaweka mfumo rafiki kwa waombaji wa mkopo? Mfumo una mapungufu mengi sana na sasa ni wiki ya pili unasumbua: 1. Kuna changamoto sex selection mfano una mdhamini wa kike ukachagua Female baadae ukija kupreview...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Vinywaji Baridi Kwa Bei ya Jumla

    Ninavyojua mimi vinywaji baridi ni vinywaji visivyo na kilevi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba Arusha ya kupanga

    Hicho ni kihehe au kibema...kamwene
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba Arusha ya kupanga

    Kambi ya fisi ni ile mitaa karibu na majengo ya NHC au karibu na Arusha Tech
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba Arusha ya kupanga

    Huko ni mbali na ofisin nitapigwa pini kila siku na boss🤪🤪🤪
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba Arusha ya kupanga

    Natafuta nyumba Arusha ya kupanga maeneo ya Sakina, Ngarenaro shule ya msingi au Kambi ya Fisi...Budget 150000 tsh
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimeunga mita mpya ya maji lakini inaonesha nimetumia unit 2

    Jana nimefunga mita ya maji yaani maunganisho mapya kwa mara ya kwanza. Cha ajabu na cha kushangaza mita inaonesha nimetumia unit mbili. Sasa nikamuuliza fundi kuwa hizo unit 2 zimetokea wapi wakati mita ni mpya..Akanijibu kuwa hizo unit 2 ni yale maji yaliyokuwa yanamwagika wakati wanatest...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wizi wa baadhi ya watendaji kwa wananchi

    mi mwenyewe yamenikuta...sio kwamba ni chuki
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wizi wa baadhi ya watendaji kwa wananchi

    Kumekuwa na kawaida sana ya baadhi ya watendaji na wenyeviti wa vijiji kuwaibia wananchi fedha kwa kisingizio cha kuchangisha michango ya maendeleo. Imemtokea jamaa mmoja huko Mbeya vijijini Kata ya Igawilo, kijiji cha Ifiga. Kuna bwana mmoja anayejulikana kwa moja la Komba. Huyu bwana kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nani amefanikiwa kupata Award Verification number (AVN)kutoka NACTE kwa 2019?

    Mimi nimeshatuma kama mara tatu na kila nikituma naambiwa nisubiri ndani ya masaa 120, ambayo ni sawa na siku tano, lkn baada ya hapo wanakuletea ujmbe huu Be informed that your verification took more time than expected due to the following:- 1...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Muhas jamani mbona havoo

    Muhas wanazingua sana...eti wanataka kanza kuapply upya yaani ulipie upya Mbona kama ni wapigaji hawa
  12. M

    JamiiForums Tanzania HESLB remained being a new topic,TCU bye and have good time.

    Tutakuwa watu wa kulaumu mpaka lini,ni bora tuilaumu serikali na huu mpango wake wa jkt usioeleweka lkn sio idara nyeti kama hiz,haraka haraka haina baraka
  13. M

    JamiiForums Tanzania HESLB remained being a new topic,TCU bye and have good time.

    Kuwa wavumilivu,msifosi mambo wadau da
  14. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha sita 2013

    Jaman wadau kuna info za kuchanganya sn ivi kuhusu form za mkopo kwamba mwisho ni tar 30 may je kwa sisi ambao tunasubiri matokeo.Mwenye taarifa kuhusu hilo jamani
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ufaulu wa kidato cha Sita 2013. Mwisho wa tetesi leo

    Nshachoka mie haya matokeo kila mmoja anaongea la kwake
Back
Top Bottom