Riz king JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 274 Reaction score 549 Aug 26, 2019 #1 mbona mnatunyima option ya reapply sasa kama hamuitoi basi tupeni status hiyo kwenye profile zetu tujue cha kufanya maana siku zinaisha
mbona mnatunyima option ya reapply sasa kama hamuitoi basi tupeni status hiyo kwenye profile zetu tujue cha kufanya maana siku zinaisha
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 51,755 Reaction score 100,798 Aug 26, 2019 #2 Riz king said: mbona mnatunyima option ya reapply sasa kama hamuitoi basi tupeni status hiyo kwenye profile zetu tujue cha kufanya maana siku zinaisha Click to expand... Nenda physically ukawaone! manyangau hayo Muhas!
Riz king said: mbona mnatunyima option ya reapply sasa kama hamuitoi basi tupeni status hiyo kwenye profile zetu tujue cha kufanya maana siku zinaisha Click to expand... Nenda physically ukawaone! manyangau hayo Muhas!
M madunda boy Member Joined Mar 26, 2013 Posts 25 Reaction score 12 Aug 26, 2019 #3 Muhas wanazingua sana...eti wanataka kanza kuapply upya yaani ulipie upya Mbona kama ni wapigaji hawa
Muhas wanazingua sana...eti wanataka kanza kuapply upya yaani ulipie upya Mbona kama ni wapigaji hawa