Recent content by Madueke

  1. Madueke

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mwanaume ambaye anakunyamazia bila sababu?

    Kijana yeyote wa umri huo ndio anapaswa kuwa hivyo,,,,sio simu nyiiingi utafikiri mnafanya biashara ya udalali kwa wiki inatakiwa akupigie simu mara moja nayenyewe muongee dakika moja,,,,maswala ya kuongeaongea waachie watoto waliomaliza form 6 mwaka huu
  2. Madueke

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: "Tusilazimishe Vyombo Vya Ulinzi Na Usalama Kufanya Mengine"

    Vijana wa rumumba mteteeni na hapa kumanyoko zenu
  3. Madueke

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu msichana kaniaibisha sana sikutegemea

    Wee hizi tabia ni za mtu anae vunjwa,,,,,huoni kama binti anajimwambafai kuwa na wew??? Piga mbususu Acha kelele kijana
  4. Madueke

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usisahau ni ngumu kuwa juu ya mumeo, na ukatamani mtoto wako wa kiume aje kuwa juu ya mkewe

    Huu ni uzi bora sana kuwahi kuusoma kwenye hii page,,,,binafsi nikiwa kama baba siwezi kushiriki dhambi yakumuandaa binti yangu akamtawale mwanaume mwenzangu lazima nimuelekeze uhalisia ulivyo kama vikoba vitambadilisha huko sipo
  5. Madueke

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ulaya na Marekani hawafanyi vizuri kiuchumi kama sisi

    Kiukweli nilijuaga ili uwe prezdaa wa taifa unapaswa kuwa na upekee flani hivi,,,,ila kila nikimchunguza huyu mama yenu nafikiri hata mim nikijiweka sawa kwenye swala la connection naweza kuongoza taifa hili,,,,kama mtu mwenye akili ndogo hivi anaongoza vipi mim nitashindwaje???
  6. Madueke

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Luhaga Mpina: Rais hana kinga ya kutokosolewa. Watu wanatekwa ninyi mnapongezana, wanaoikosoa serikali wasizuiliwe

    Wale madogo wa uv ccm wako wapi,,,,na jere muro
  7. Madueke

    JamiiForums Tanzania CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa siku 10 kujibu

    Hapo mbona sentsi Moja tuu inamaliza kesi??? Tuliuahirisha mchezo kwasababu kulikuwa na viashiria VYA uvunjifu wa amani hivyo tukausitisha Ili tufanye uchunguzi na baada ya uchunguzi tulibaini Moja mbili tatu,,,,,Simba sioni kama anachochote Cha kijibu
  8. Madueke

    JamiiForums Tanzania Nini kimesababisha South Africa kuwa na HIV AIDS kwa rate kubwa?

    Akinyanyua kichupi kinaonekana na akiona hamujaona ananyanyua Tena,,,, 🤣 🤣 🤣 south ni pahala pa kwenda mkuuu
  9. Madueke

    JamiiForums Tanzania Mbeya: TFF tendeni haki uchaguzi wa Mbeya

    Hata injinia atuachie mpira wetu maana nayeye sio mtanzania 😃😃😃
  10. Madueke

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri

    Wanaruka kinyama😄😄😄😄
  11. Madueke

    JamiiForums Tanzania Haya chukueni hii ikiwa bado mbichi na mbaki nayo, kwani kwa aina ya Mgeni Rasmi aliyeandaliwa kwa Mchezo ujao hakuna wa Kuthubutu Kugoma / Kumgomea

    Msipocheza ni swala rahisi tu,,,,,hatuwasumbui ila tunatuma TAKUKURU iichunguze taasisi yenu,,,,na tukiwa wakweli sijaona taasisi iliyonyooka nchi hii kwahiyo msijidanganye myapotea hatuji kuwaona kwenye ramani ya nchi hii😀😀😀SIMPLE MTU WANGU
  12. Madueke

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Njia pekee ya wapinzani kuingia Ikulu ni kupata idadi kubwa ya wabunge kisha kupiga kura ya kutokuwa na imani na Rais

    Zipigwe kama kwa Samola Machela kidogo hata kamwezi huenda tukaheshimiana,,,,,unajua makada wanatuchukulia poa sana????zipigwe kidogo pachangamke
  13. Madueke

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Songwe yabubujikwa na machozi ya furaha na kumshukuru Rais Samia baada ya kupewa Majiko ya Gesi ya Ruzuku

    Kwanza umesema wananchi katika barabara zote???😃😃😃unaifahamu mwakabenga road???unaifahamu mpande road?? Unaifahamu jakaya road???au boymanda road??? Mbona zote hizo hatujawaona wakibubujikwa na hayo machozi?? Au unazungumzia songwe ipi labda
  14. Madueke

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya kwanza Mwenyekiti Lissu aiita Tanganyika Tanganyika. Tumepata mtetezi!

    Hizo ndio pimbi zinazompigia debe mama kiufupi Kuna takataka nyingi sana zinapiga uchawa
Back
Top Bottom