Recent content by Madley

  1. Madley

    JamiiForums Tanzania ‘Wakatoliki wa mchongo’ wakiwa kwenye foleni ya kuchukua posho baada ya kumaliza IGIZO lao pale Ubalozi wa Vatican

    𝐏𝐌 anadhani kanisa Katoliki ni kama kataasisi flani ivi anachoweza kukamudu
  2. Madley

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bodaboda: Desemba 9 hatutoki amani yetu taifa letu

    Kwani MO29 mlivyotoa haya matamko ya kupangwa maandamano hayakufanyika? Kwanza mimi sikuona bodaboda zaidi ya watembea kwa miguu akadeal na watembea kwa miguu sio nyie
  3. Madley

    JamiiForums Tanzania Kibu Denis ametia aibu kushindwa kujengea wazazi wake

    IVi MNAJUA HUKO NI KAMBINI?
  4. Madley

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini maandamano ya 29 October yatafeli vibaya sana

    None sense
  5. Madley

    JamiiForums Tanzania Kuna Kitu kinaendelea kwenye Media za Tanzania

    Ila mitandao ipo
  6. Madley

    JamiiForums Tanzania NEC igeni CCM jinsi ya kuhesabu kura. CCM mmeonyesha mfano

    Athubutuu!!
  7. Madley

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hawa Wapinzani hawarudi Bungeni hata iweje

    Kwani wanateuliwa au wanachaguliwa Mshajimilikisha nchi nani aishi na nani afe ndiko mnapoelekea..
  8. Madley

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha leseni ya kuchapisha na kusambaza Gazeti la Tanzania Daima kuanzia Juni 24, 2020

    Ipo siku mtawala atakuwa mpinzani
  9. Madley

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere atangaza kumng'oa Msigwa Iringa Mjini

    Ili bunge limeshakuwa kama kumbi flani ivi la starehe ccm wamejua kutuonesha kuwa ubunge au uwakilishi kule bungeni sio lazima uijue katiba ya nchi na sheria zake Bali tu ukiweza kusifia kuunga hoja tayari na wewe unakuwa Katika kundi la waheshimiwa.. Astaghafulillah... Tumuache Msigwa...
  10. Madley

    JamiiForums Tanzania Je, Prof. Ibrahim Lipumba kafanyia kikao cha Chama cha Wananchi CUF kwenye ofisi ya CCM Zanzibar?

    Kwani kipaumbele chao uchaguzi mkuu ni nini
  11. Madley

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

    Hawavai barakoa kumuunga mheshimiwa Rais mkono Jamani huu unafiki utakuja kuondoka na wengi
  12. Madley

    JamiiForums Tanzania Nashauri: Viongozi msishindane na Mbowe kwenye kuongea

    Tutaelewana tu ngoja tuoneshane kwanza makali
  13. Madley

    JamiiForums Tanzania TANZIA Chato: Rais Magufuli afiwa na dada yake leo (17 Mei 2020)

    Hapo ndio nyumbani kwa shemeji wa mzee! R. I. P mama yetu
Back
Top Bottom