Daah kwa hili nawapongeza sana maana pale mahali kusema haki ya Mungu pamoja kaka zangu 3....mmoja tumbo moja na mimi wawili watoto wa baba mkubwa....
Nimekulia Mtaa wa Mkumba pale sasa Ajabu kila siku jioni ukifika saa mbili mabraza wakitoka Gereji gafla unaona wamepotea baada ya masaa kadhaa...
Kuruka ruka kwa Maharage ndio kuiva kwake
Mtanyooka tu maana mlizoea kuonea wanyonge kwa pesa zenu za wizi
Pombe baba kamua sisi wanyonge tumeanza kuona Mwanga.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Zitto akatatue shida za watu wake Kigoma....matatizo ya watu wa Kilwa hayamuhusu.
Asipokuwa makini nae atakuwa Bwege
Kwanza watu wa Kilwa tumemchoka Bwege hatumtaki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.