Recent content by madindigwa

  1. madindigwa

    Kijana wa kiume mwanafunzi wa shule ya Msingi anaingiliwa kinyume na maumbile !Msaada hatua za kuchukua

    Ni rahisi fuatilia kwa umakini sana wewe au mama yake na walimu shuleni nyendo za mwanafunzi kuanzia ahuleni njiani na nyumbani mtapata jibu
  2. madindigwa

    Nimehama rasmi uislamu nimekuja kwenye dini ya kweli ukristo.

    Sawa ingia jahannam kwa kupenda mwenyewe
  3. madindigwa

    Iran kuacha kutumia GPS na teknolojia nyingine hatarishi zinazomilikiwa na Marekani na Israel

    Huna akili wewe kwa hiyo Unataka kuniambia wa Zungu ndio kila kitu Irani ilikuwepo kabla hata hao wa Zungu hawakujulikana
  4. madindigwa

    Sheikh aweka wazi Imani ya majini inayofichwa

    Tatizo Lenu nyie wagalatia mnaona Kila jini ni shetani kumbe hata majini wapa gani wapo wakristo wapo waislam wapo Maji ni ni jamii ya viumbe Kama binadamu
  5. madindigwa

    Mwalimu Nyerere alikuwa ana uwezo mdogo sana, ila jina limekuzwa na chawa wake

    Aliijiweka tu mbele lakini alikuta harakati za Uhuru zinaendelea na Uhuru ulivyo patikana aka wabwaga wenzie wote
  6. madindigwa

    Maktaba: Muhidin Issa Michuzi na Picha Alizopiga Marehemu Mohamed Shebe 1950s

    Mzee said picha yako ya utootoni na sura yako ya sasa ni vile vile
  7. madindigwa

    China na Xi Jinping vipi tena?

    Usiwe unarukia hqbari kabla ya mwisho wake sasa hii habari yako tayari ni mfu
  8. madindigwa

    Nahitaji mke wa pili

    Hapana hata asiwe bikra
  9. madindigwa

    AZAM TWO:Tamthilia za saa nne ni za kidini!

    Kwani ni lazima uangalie chaneli hiyo hiyo mkuu mbona kuna chanel za ki dini kabisa we mzushi
  10. madindigwa

    Tetesi: Godbless Lema huenda akawa Katibu Mkuu ajaye wa CHADEMA

    Uongozi hauna uiano wa ki dini
  11. madindigwa

    Nimeolewa ama nimeoa? Naombeni ushauri

    Huyo atakua karogwa sio bure anahitaji msaada
  12. madindigwa

    Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

    Kwa sababu makanisani kwenu ndio nyumba za mapepo
Back
Top Bottom