Kumekuwa na malalamiko kuwa muda wa mechi kuna vipindi vinaendelea. Jambo la msingi ni kujua kuwa ni baadhi tu ya mechi za bure hupewa televisheni za taifa waonyeshe lakini mechi nyingi hupewa chanel za kibiashara. Wastani huwa ni mechi moja kwa siku, hizi ndo mechi za bure ambazo zitakuwa...
Kabla ya kuita taasisi matapeli unatakiwa kujipa muda wa kujua TBC wanaonesha mechi zipi na zipi hawaoneshi. Kwa kawaida haki ya matangazo yote hupewa wabia wa kibiashara wa FIFA. Lakini televisheni za taifa hupewa baadhi tu ya mechi ambazo huwa za bure na mara zote huwa moja kati ya mechi 3 za...
Suala la kusogeza huduma ya maji karibu na shule ni la mwalimu? Haya watoto wanatakiwa kula shuleni kutumia vyoo, hayo maji wachote walimu? Watoto kuchota maji huko wameanza leo? Ajari haina kinga na ajari haichagui haikuwa na haja ya kuchukua maamuzi ya haraka kiasi hicho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.