Recent content by madibadc

  1. madibadc

    JamiiForums Tanzania HELP... HELP...HELP... PLEASE!!

    HAPANA HII KADI NI ZILE KUBWA PANA HAZINA SEMU YA LOCK
  2. madibadc

    JamiiForums Tanzania HELP... HELP...HELP... PLEASE!!

    NILIYONUNUA MPYA NILIJARIBU DUKAN PALE ILIKUWA SAFI TU
  3. madibadc

    JamiiForums Tanzania HELP... HELP...HELP... PLEASE!!

    Nina Camera yangu Canon EOS 7D, nilikuwa naitumia vizuri leo nikiwa kwenye zoezi la kupiga picha Camera ikakataa kupiga na inaandika, CARD CANNOT BE ACCESSED.REINSERT/CHANGE THE CARD OR FORMAT. nikiformat inaandika CANNOT FORMAT CHANGE CARD...nikakimbia dukani kununua mpya nikaweka inasoma...
  4. madibadc

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kupokea mzigo (Online shopping)

    Nimetoa..kwahyo unakuja direct kwenye hiyo address nilotoa?
  5. madibadc

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kupokea mzigo (Online shopping)

    Napenda kufahamu, kama mzigo umetumwa kupitia ebay on line shipping naupataje na makato yake yako vipi hapa kwetu Tanzania? Ni mzigo mdogo yaani laptop.
  6. madibadc

    JamiiForums Tanzania Utafiti unaonyesha maskari ndio wanaongoza kuoa wanawake magoli kipa

    Heeeeeeee....nakona kaukweli kaleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
  7. madibadc

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampongeza Mshindi wa Urais Marekani, Donald Trump

    HUEnda ukawa sahihi lakin nina mashaka kama unaifahamu akaunti maalumu ya mh.Rais...embu ifatilie kwamba kisha toa maoni kuwa huenda akawa sio yeye
  8. madibadc

    JamiiForums Tanzania Naomba kusadidiwa, mwanzoni aliandikiwa amepata mkopo, baadae wakamuondoa

    The student with Index number 'S0XXXXXXXXX' was not allocated a higher education loan for AY 2016/17 in the first Batch.
  9. madibadc

    JamiiForums Tanzania Naomba kusadidiwa, mwanzoni aliandikiwa amepata mkopo, baadae wakamuondoa

    Wapendwa naomba kujuzwa kuna mwanafunzi amechaguliwa kujiunga na chuo Mkwawa..awali jina lake lilionekana kwa wanufaika wa mkopo kwenye batch ya kwanza lakin alipofika chuo baada ya kukamilisha taratibu za ulipaji michango midogomidogo (Direct cost)ili kupata usajili, jina lake halikuwepo kwenye...
  10. madibadc

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Jinsi ya kufuta meseji ya WhatsApp uliyokosea kutuma

    duuuh hii balaaa...
  11. madibadc

    JamiiForums Tanzania Sakata la UDOM; Rais anasema hili UDSM na Waziri anasema Lile Bungeni, Inaleta Picha gani?

    Beautyful ones are not yet born,,,,,, Serikali ina nia ya kufanya mambo mazuri sana bt hawajui namna ya kuyafanya,,,,,,,,,,ona sasa kauli zinavyopishana,,,,,,,,,,tuelewe nn,,,,,,,,,,,,,wametudahili wenyewe leo tunaitwa vilaza!!!! na Tena raisi huyu anaetetea maskini leo anatudharau maskini kwa...
Back
Top Bottom