Recent content by madeule

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe atangaza Vita na Zitto katika Vikao vya ndani vya Chama

    hebu wewe chiz niambie mlicho mfanyia kolimba pale dodoma.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bodigadi wa zamani wa Dr. Slaa, Khalid Kagenzi akanusha kutaka kumuua Dr. Slaa

    hebu na nyinyi tuambien kwanza kambona mlifanyia nn kule chamwino????????????????????????
  3. M

    JamiiForums Tanzania Basi la Majinja lagongana uso kwa uso na Lori, Kontena laangukia Basi

    tujisahihishe wap tumemkosea MUNGU
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nini kimemsababisha Membe kuzigeuka nchi nyingine kuhusiana na Nile Treaty?

    isaya 18, inaelzea hii kitu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Aisha Aliyechomwa na mama yake wa kambo mwaka 2006, sasa hivi anaingia chuo kikuu

    amehitim kidato cha sita mwaka gan?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere Kugombea Urais-2015

    ndoto za arnacha!!!!!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Kapt. Komba, funzo kwa wanasiasa

    hata mwass wa tuzo za nobel, cku moja akiwa kwenye ndege akielekea kwenye msiba wa mdogo wake, akisoma gazeti alikuta habari iliyo ikisema yule aliyetengeneza bunduku na yy amekufa, kupitia hiyo abar alijifunza kuwa cku akifa watu watasema aliyekuwa akitengeneza bunduki za kuulia watu na yy...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yauchomoa Muswada wa Mahakama ya Kadhi Bungeni

    mwanasheria anatetea tumbo lake bora huo umetolewa bungeni na nawambieni hautarudi tena. mlikubari mkaingia mkenge mkawa mnawatishia wenzenu walio piga kula ya hapana waliona mbali, laana isha anza kuwatafuna bahati haiji mara mbili msha ichezea fursa mliipoteza kwenye bunge la katiba saizi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi moto UWAKITA wasema watazunguka nchi nzima kuikataa katiba mpya

    hiv mm mwislam akiniibia kuku si atasema nimpeleke kwenye mahakama zao anako jua jaji na wa kwa?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi moto UWAKITA wasema watazunguka nchi nzima kuikataa katiba mpya

    hi kadhi ndo nn maana nasikia mahaka ya kiislam, mara wanataka majaji wao walipwe na serikari, mm napendekeza, walete sheria zao waikabidhi serikari wakikoseana huko wanakuja wanahukumiwa na jaji yeyote awe mwislam au mkristo anawahukum tu, si sheria zipo, kama wanataka majaji wawe waislam hiz...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Mchungaji aagiwa kwenye hoteli ya kitalii!

    angalia sana mleta uzi, kama sio laana inakutafuta basi, itakuwa inakusumbua. Angalia yasije yakakukuta kama yaliyo mkuta ghadafi. kuwa makn na watumishi wa MUNGU
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bondia Francis Cheka ahukumiwa miaka mitatu jela kwa kumpiga Meneja wa Baa

    maugo atafurahi, maana jamaa alikuwa anamnyima rahaa, kambonda mara mbili!!!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    Mimi ni Mwandishi wa gazeti la Mwananchi. Wiki mbili zilizopita tulikuwa na mjadala mkali sana kwenye kikao cha uhariri cha kuamua habari kuu za gazeti. Mjadala ulikuwa juu ya picha iliyotumwa na mpiga picha wetu kutoka Dodoma. Kuna baadhi ya wenzetu walitaka picha hiyo iwekwe ukurasa wa mbele...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba atoa kali

    huyu jamaa nilikuwa cmpendi zamani lakini sasa i am trusting him, maana kajirekebisha na anaonekana ni mtu anaeza leta changes kulikuwa kuliko wote walioko ndani ya ccm. i am sure huyu jamaa atamdondosho lowasa.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa Kiislam Tanzania

    yangu macho na hizi mahakama, hivi hizi mahakama ndio zile mtu akiiba anakatwa mkono au? ukizini fimbo 100? cjui sasa akikutwa mkristo kazini na muislam cjui wote wanatiwa bakola au?
Back
Top Bottom