Recent content by MADESI

  1. M

    Mfanyabiashara wa Nigeria afariki dunia baada ya kubakwa na wake zake watano

    Duu! rape is the forced sex! Mi nadhani huyu bwana alikuwa mgonjwa tangu mwanzo!
  2. M

    Jamani mi nataka ushauri nifanyaje

    I sincerely thank all of you for your advice! I will surely work on that!
  3. M

    Jamani mi nataka ushauri nifanyaje

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 .nina rafiki yangu ambaye tumek pamoja tangu utoto mpaka tunakuwa wakubwa na tulitokea kuzama ktk mapenzi baada ya kuwa wakubwa ingawa no sexual act have been done kati yetu.kiukweli tulipendana.lakini baadaye niligundua kuwa yeye ni mkubwa kwangu by 2...
  4. M

    kwa wa udsm tu!

    Brother, mimi nataka chance hiyo please naomba nitafute na 0753006927 natanguliza shukurani kaka.​
  5. M

    Kozi ambazo ajira zake ni ngumu kupata

    You should not learn to get employed only but learn to have vision for your future and employ yourself. You should not choose to study the courses that you see have no future,otherwise it may be the wastage of time.
  6. M

    Kozi za Engineer

    Hapana Vijana, Chemical engineering ni baba wa 1)Petroleum Eng 2)Metallurgical ENG 3)Mineral Processing Eng 4)Material and Design Eng 5)Etcetera
  7. M

    Udom kuna nn?

    poleni sna wana UDOM, mjipange ili kuweza kufanya mambo yenu vizuri maana chuo chenu kina mazingira ambayo kujiorganize ni ngumu kwani umbali kati ya college zenu ni safari za daladala au shuttle kwahiyo inakuwa ngumu kuweka nguvu pamoja lkn mkiamua you can make it.
  8. M

    Tigo pesa till

    Natafuta zaidi ya tigo becauze ya voda ninayo
  9. M

    UDSM yazidi kuchanja mbuga katika nyanja za kimataifa kwa ubora wa elimu

    We hujielewi nini!!!! utakuwa wa Kayumba University wewe. Pole kaka ,japo inawezekana uliyosema ni sahihi lakini sio kazi ya chuo kuangalia maisha ya watu baada ya kugraduate
  10. M

    UDSM yazidi kuchanja mbuga katika nyanja za kimataifa kwa ubora wa elimu

    We hujielewi nini!!!! utakuwa wa Kayumba University wewe. Pole kaka ,japo inawezekana uliyosema ni sahihi lakini sio kazi ya chuo kuangalia maisha ya watu baada ya kugraduate
  11. M

    Wanajamii NATAFUTA LINE YA TIGOPESA

    :clock: Wapendwa wafanyabiashara wenzangu, ninaomba mtu awayeyote yule atakayekuwa ana laini ya TIGOPESA na anataka kuiuza kwa mtu au amesikia mtu anauza laini hiyo aniuzie mimi Namba zangu ni 0656167979,0782720263 natanguliza shukrani kwanza.
  12. M

    Tigo pesa till

    wapenzi jamii forum! Habari zenu! Yaani huu urasimu wa tigo company kupata line ya tigo pesa du! naombeni mtu anayeweza kunisaidia kupata line ya tigo pesa nitashukuru sana. Kwa mawasiliano 0656167979
  13. M

    FIRST AID: Mara UMWAGIWAPO TINDIKALI (ACID)

    You guy must not have gone even a single class because you have suggested nosense.Go start form one again. Iam sorry !!!!! I just want to advice anyone who will face this danger to use plenty of water if it is near the scene.Thou this may also not be efficient since the reactions are always faster.
Back
Top Bottom