FIRST AID: Mara UMWAGIWAPO TINDIKALI (ACID)

Hata mie nilikuwa na high expefctations na hii sred, but neh!

Wakati naifungua hii thread nilitarajia kukutana na uchambuzi uliopevuka zaidi ya huu...
Mathalani ungejaribu kupambanua mifano dhahiri ya nyongo ambazo sio za viwandani kama hiyo Sodium Hydroxide...n.k
 
Hahaha....Konnie hebu nipe litimasi pepa hapo yutesti asidi na besi...
Ukimaliza nigee banseni bana tufanye flemu testi ya chumvi...
 
Hahaha....Konnie hebu nipe liyimasi pepa hapo yutesti asidi na besi...
Ukimaliza nigee banseni bana tufanye flemu testi ya chumvi...

Kitu gani kinamfanya mtu ajihisi kwamba yuko kwenye risk ya kumwagiwa acid?
 
Wakati naifungua hii thread nilitarajia kukutana na uchambuzi uliopevuka zaidi ya huu...
Mathalani ungejaribu kupambanua mifano dhahiri ya nyongo ambazo sio za viwandani kama hiyo Sodium Hydroxide...n.k
very unfortunately you met with shallow analysis
 
Wakuu JF Amani iwe Nanyi

Kutokana na Matukio yaliyokithiri ya watu Kumwagiwa Tindikali, na kwa kuwa hatujui nini kitatutokea.
Kwa wale ambao wanajiona wako Vulnerable kumwagiwa ACID (Kumwagiwa Acud Prones),
Nimeona ni Bora Nije na Kaushauri kadogo ambako kanaweza kuwa Msaada katika kujipatia Huduma ya Kwanza.
Kwa vile tunajua (From Chemistry) kuwa Tindikali (Acid) ikichanganywa na Base (Alikali) Matokeo huwa Chmvi na Maji.
Hii ni Property ya Acid na Base.
Mathalani, Hydrochrolic Acid (HCL) ikichangnywa na Sodium Hydroxide (NA0H), Zao huwa ni Maji (H20) na Sodium Chroride, Chumvi (NACL)

Hivyo Basi, Muda umefika sasa wa kuanza kutembea na kikopo cha alkali,ukimwagiwa tindikali na wewe unai-neutralize kwa kujimwagia kidogo!

gfsonwin, wewe ni bingwa wa Kemia, hebu njoo tusaidie kudadavua hizi chemical reactions kwenye uso wa mtu!
 
Last edited by a moderator:
siku zote acid ina high affinity with water hence always requires water inoder to be neutralized, kwahiyo unahitaji acid uipeleke kwenye maji nacyo maji uyapeleke kwenye acid(moto utatokea) ni bora uweke maji ya chumvi au ya bahari sehemu uliyomwagiwa tindikali au acid.

Mkuu ungesema tu ni Bora utupie Alikali Kabisaa
 
Kitu gani kinamfanya mtu ajihisi kwamba yuko kwenye risk ya kumwagiwa acid?

Babu na watu8 ,
Matukio ya watu kumwagiwa Tindikali in a Random Fashion ni Indication tosha kuwa kila mtu now yuko katika Risk ya Kumwagiwa Tindikali.
Chukua Tahadhari, Tembea na alikali
 
Last edited by a moderator:
You guy must not have gone even a single class because you have suggested nosense.Go start form one again.
Iam sorry !!!!!

I just want to advice anyone who will face this danger to use plenty of water if it is near the scene.Thou this may also not be efficient since the reactions are always faster.
 
Wakuu JF Amani iwe Nanyi

Kutokana na Matukio yaliyokithiri ya watu Kumwagiwa Tindikali, na kwa kuwa hatujui nini kitatutokea.
Kwa wale ambao wanajiona wako Vulnerable kumwagiwa ACID (Kumwagiwa Acud Prones),
Nimeona ni Bora Nije na Kaushauri kadogo ambako kanaweza kuwa Msaada katika kujipatia Huduma ya Kwanza.
Kwa vile tunajua (From Chemistry) kuwa Tindikali (Acid) ikichanganywa na Base (Alikali) Matokeo huwa Chmvi na Maji.
Hii ni Property ya Acid na Base.
Mathalani, Hydrochrolic Acid (HCL) ikichangnywa na Sodium Hydroxide (NA0H), Zao huwa ni Maji (H20) na Sodium Chroride, Chumvi (NACL)

Hivyo Basi, Muda umefika sasa wa kuanza kutembea na kikopo cha alkali,ukimwagiwa tindikali na wewe unai-neutralize kwa kujimwagia kidogo!

Nomaa itawezekana tu mbona kufanya hivi inawezekana
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1376510545850.jpg
    uploadfromtaptalk1376510545850.jpg
    26.4 KB · Views: 63
mimi na sayas hatujuani LAKINI hvi huo muda wa kujimwagia hyo midubwashka mingne utatoa wap? Dawa ya kichwa yenyewe, ilifanyiwa majarbio kabla ya kuanza kutumika, hii imefanyiwa wapi?
 
Wakuu JF Amani iwe Nanyi

Kutokana na Matukio yaliyokithiri ya watu Kumwagiwa Tindikali, na kwa kuwa hatujui nini kitatutokea.
Kwa wale ambao wanajiona wako Vulnerable kumwagiwa ACID (Kumwagiwa Acud Prones),
Nimeona ni Bora Nije na Kaushauri kadogo ambako kanaweza kuwa Msaada katika kujipatia Huduma ya Kwanza.
Kwa vile tunajua (From Chemistry) kuwa Tindikali (Acid) ikichanganywa na Base (Alikali) Matokeo huwa Chmvi na Maji.
Hii ni Property ya Acid na Base.
Mathalani, Hydrochrolic Acid (HCL) ikichangnywa na Sodium Hydroxide (NA0H), Zao huwa ni Maji (H20) na Sodium Chroride, Chumvi (NACL)

Hivyo Basi, Muda umefika sasa wa kuanza kutembea na kikopo cha alkali,ukimwagiwa tindikali na wewe unai-neutralize kwa kujimwagia kidogo!

Sasa wewe na huu ushauri wako japo ni mzuri, utatufanya watu tuwe mazeruzeru bila kujitakia. Lakini, ngoja niende kwenye hili duka la spea za gari ninunue hiyo alkali just in case.
 
Back
Top Bottom