Jamani mi nataka ushauri nifanyaje

Jamani mi nataka ushauri nifanyaje

sema hukumpenda kihivyo, ungekuwa umedata katika mapenz tofauti ya 2yrs isingekuzuia kumuoa. Btw mwambie ukweli tu umuume lakini ajue kuliko kumwambia uongo ili afurahi kumbe anapoteza mda na mtu ambae hana malengo nae
 
na wewe maliza kwanza shule ,,,,,,,,

halafu kwa huo mwenendo wako utakuja kulizwa sana kwenye huu ulimwengu wa mapenzi.
 
Miaka 22 umeshaanza kudanganya wasichana kwamba utao wakimaliza shule, vipi wewe shule inatosha? Sasa ukiamua unaoa mwakani umejiandaaje kuwa baba? Au unataka kuletea watu mzigo wa kukulelea mtoto. Kama bado unasoma we bado ni mtoto kwa wazazi wako kwahiyo achaawazo ya kuoa tafuta kwanza maisha.
 
Kama kweli unampenda kwa dhati huyo aliyekuzidi miaka miwili nakushauri umuoe.

Kukuzidi miaka miwili usiogope, mbona midogo sana
 
Dogo tulia sikushauri uoe msichana aliyekuzidi umri, na nina hakika hilo wazo lako la kumuoa huyo binti ni moja ya hatua ya kuwa mature, kama unabisha subiri miaka miwili au minne ijayo uone jinsi unavyowaza kitoto, nakushauri tafuta msichana mwenye umri chini yako.
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 .nina rafiki yangu ambaye tumek pamoja tangu utoto mpaka tunakuwa wakubwa na tulitokea kuzama ktk mapenzi baada ya kuwa wakubwa ingawa no sexual act have been done kati yetu.kiukweli tulipendana.lakini baadaye niligundua kuwa yeye ni mkubwa kwangu by 2 yrs na mim sikutaka kuoa msichana mkubwa kwangu. baada ya muda nikajikuta nimependa msichana mwingine na nataka nijenge naye future yaani nimempenda sana. But here is the problem yule wa kwanza anafight nimwoe na sijawahi kumwambia kuwa nimempata mwingine ila nimewahi mwambia kuwa nataka msichana wa umri wangu na alilia kwa uchungu sana ikabid nimpoze kwa kumwambia it is okay, na huyu wa pili nimemwambia ntamwoa akimaliza shule
please advice!
natanguliza shukrani

Hebu nenda shule ww. Wote mnahitaji viboko vya kutosha.
 
We dogo shule sizishafunguliwa,hebu nenda shule kwanza.Umri huo inabidi ulete uzi tukushauri kuhusu masomo ww unawaza mapenzi...shwain.
 
I sincerely thank all of you for your advice!
I will surely work on that!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom