Msukuma amechanganyikiwa.
Bastola ni kitamburisho cha askari?
Hiyo JKT anayosema nimepita hakuna kitu kama hicho.
Bunduki ina urasimu wake kijeshi.
Kuiambia jamii bunduki ni kitamburisho cha askari ni uzushi wa kisiasa na kujikomba
Na ni mawazo potofu.
Kuendelea kubaki chama cha Siasa Hai na Imara,CHADEMA ni lazima mgombea Urais wao ashinde na kutwaa kiti cha urais wa Tanzania; vinginevyo CHADEMA itaifuata NCCR mageuzi kwenye LIMBO.
Body with life but no soul.
Zombie Party
Njia Nyeupeeeeeeeeeee
Hiiii hiiii
Dr Silaha Ariye tu Hii hii hii.
Kila kitu yeyey kuzila tuuuuu.
Hiiiiiiiii Hiiiiiiii
Baba ELO nakuamini saaana. Hiiiii
Dogo!
Funga domo lako Tulia, faidika na lifti.
Njia Nyeupeeeeeeeeeee
Hiiii hiiii
Dr Silaha Ariye tu Hii hii hii.
Ukiacha Mzee EDDY mwenyewewe.
Mtu mwingine ninaye mhashimu na kumpenda ni wewe baba Ed.
Nikiwa na wewe niko salama kabisa
CHADEMA wanapata FREE ride ya MH Lowassa kwenda IKULU
Not right.
"CHADEMA Tunapata FREE ride ya MH Lowassa kwenda IKULU"
Dogo Freemtu.
Mimi ni Lowa wa Lowassa ride yangu ni ya Uhakika.
Tuliza BOLI dogo.
Kule katika ulimwengu usio wa mwili ni mfueni kali.
For we wrestle not against flesh and blood, but against principalities, against powers, against the rulers of the darkness of this world, against spiritual wickedness in high places.
Watu wanatamani sana IKULU wako tayari kuingia kwa gharama yeyote.
Kwa sababu wanajua ukisha tinga Ikulu basi MIFEDHA yote ni yako na makosa yako yote unalazimika kusamehewa.
Hili goli la kisigino kwamba Lowassa alitemwa kwa sababu ni Msafi na mwenye Dira na Magufuri alichaguliwa kwa sababu ni...
Watu wa kuongoza Tanzania hawajaisha kama ilivyo ishiwa CDM kiasi cha kuendelea na mwenyekiti Mbowe na kula mashonde fresh ya CCM. Hatusubiri hata yapoe?
Chama kiliundwa na Mzee Mtei.
Mbowe ni mkwe wa Mtei.
Kifupi ni kwamba bado kipo mikononi mwake.
Ile kauri ya Lisu kwamba hakuna Watu ndani ya CHADEMA ilikuwa inazaa mwanya ili siku Lowassa akija ionekane mtu kapatikana.
Wana CDM Lowassa ana haki ya kujiunga na CDM lakini hili la kumteua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.