Recent content by madei lapia

  1. M

    Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

    wazee wa CHADEMA mwa muogopa Lowasa ndo maana mnachonga sana. Lowasa ndo anaweza kupeleka kijiti cha maendeleo fasta. Tuwaachie wa tz waamue 2015
  2. M

    Dogo na Mfanyakazi wa ndani

    Dogo: Mama hivi malaika si wanapaa? Mama: Ndiyo wanapaa, Kwanini umeniuliza hivyo? Dogo: Nimemsikia baba jana anamuita dada (housegirl) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa? Mama: Ndiyo atapaa kuelekea kijijini kwao kesho, Shwain!!!!
  3. M

    JUNI MOSI:Wamasai wa Ngorongoro kutikisa nchi

    Ndugu yangu Kurunzi. Unayo yasema ya utz ni sawa idadi ni sawa na life style ya ndugu zetu wamasaai imebadilka. Nchi hii inafanya Sensa mara kwa mara na tafiti pia. Sasa wahusika walitakiwa walione hilo mapema nakulipatia ufumbuzi badala yakusubiri mpaka watu waandamane. Pia kumbuka ngorongoro...
  4. M

    JUNI MOSI:Wamasai wa Ngorongoro kutikisa nchi

    Ni vizuri kuwa sikiliza. Swala la chakula ni la msingi. Hata katiba yetu imebainisha kinaga unaba kwamba kila mtu anahaki ya kuishi.... Sasa kama mnawazuia kulima afu hawapatiwi chakula, hapo kwa kweli katiba ya nchi itakuwa imekiukwa. Afu waziri husika anaongea kwa jeuri. Utawala wa sheria upo...
  5. M

    Uhuru Kenyatta aisiriba serikali ya Tanzania

    Wanajamii hii ni mara yangu ya kwanza kujiunga jumuiya hii. Kwanza napiga hodi na kwasalimu wote kwa mpigo. Pili Uhuru Kenyata kasema ukweli kabisa. Na hii inadhihirishwa na usemi wa wahenga yakuwa "mtegemea cha ndugu..........."
Back
Top Bottom