Thursday, October 27, 2016
Taarifa Kwa Umma Kuhusu Bodi Ya Mikopo Ya Wanafunzi Wa Elimu Ya Juu
Baada ya kukamilisha zoezi la Uchambuzi wa maombi ya Mikopo 88,163 yaliyopokelewa hadi kufikia tarehe 11 Agosti, 2016. Jumla ya Wanafunzi wapya 20,183 wamepangiwa Mikopo. Upangaji huu umezingatia...