Recent content by madame agnes

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuandaa mpango wa biashara (Business Plan)

    Asante mkuu Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    Nilijifungua mtoto alifia tumboni ila tangia nimemaliza 40 niliona siku zangu ila mwezi huu sijaona je, mzunguko haujakaa vizuri au? Naombeni mniambie Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chimbo za kupata mapochi ya mtumba quality grade one

    Hatujauona mkuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Nitumie whatsapp kwwnye no 0782202544
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Habari za jumapili wana JF Naomba kuelekezwa machimbo ya vitu bei rahisi kwa MF.mitumba nguo za ofisini, handbag za mtumba quality na ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za jumla!? Kwa dar
  6. M

    JamiiForums Tanzania Chimbo za kupata mapochi ya mtumba quality grade one

    Habari wana jf Nilikuomba naomba kujua machimbo yanapopatikana mapochi/ handbag za mtumba ambazo ni quality grade one ili nikajumie nianze biashara Msaada please
  7. M

    JamiiForums Tanzania Miezi 10 sasa Jamii forum

    Tunakupenda pia
  8. M

    JamiiForums Tanzania Alovera : sabuni na lotion

    Ngoja tusubiri wajuzi watuelekeze
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maswali ya usaili kwa utendeji wa mtaa katika halmashauri mbalimbali

    Mungu wanguuuu, mbona wengi hivyo?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maswali ya usaili kwa utendeji wa mtaa katika halmashauri mbalimbali

    Hata mimi nasubiri kuitwa kwenye interview ila nasikia bado
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unit za umeme

    Asante mtoa mada
Back
Top Bottom