Recent content by Madam Lii

  1. M

    TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

    Pole mwaya, ila umerudia kosa ambalo ulishaanza kupona vidonda vyake. Tabia ni ngozi. Kusimanga kupo ndani ya damu huyo, utashinda la nyumba atahamia la kitanda au sofa. Cha msingi na sekondari si una kazi nzuri kwanini usiondoke hapo kwake? Ukapanga binafsi kuonyesha umekomaa. Una watoto...
  2. M

    Ushauri: Ndoa yangu inaenda vunjika, badala ya ndoa sasa imekuwa ndoano

    Pole, lakin kiukweli hukutakiwa kwenda na taulo kwa Shemeji yako. Kwa mazingira haya lazima hisia zake ziende huko. Lakini kabla ya kumgeukia huyu bidada, ww umetambua hilo kosa lako? Na kwa ushaur sasa waone wasimamiz wenu mlizungumze hili. Ikikwama nenda kwa wazee wake.
  3. M

    Ni salamu zangu kwenu

    Umeongelea vitu viwili tu mbona cha tatu kinachokamilisha jina la jukwaa hujakisema? Usikariri matumiz ya jukwaa.
  4. M

    Ni salamu zangu kwenu

    Asante kushukuru mkuu
  5. M

    Ni salamu zangu kwenu

    Ni mzima na namshukuru Mungu. Nimewakumbuka ndugu zangu. Nawasalimia tu , nakuwatakia usiku mwema.
  6. M

    Support niliyoipata kutoka JF, thank you all

    Umeandika maneno ya shukrani ya dhati. Mungu azidi kukupa Faraja ww na familia yako. Umenigusa uliposema hajakupa tu damu yake bali na mengine. Ni kwa neema tu. Ujumbe wako huu unanipa sababu milion za kumshukuru Mungu kwa kunipa baba, mshauri na rafk kwangu. Mungu akupe amani yake mpz.
  7. M

    TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

    Pole heaven sent, Mungu awe mfariji kwako na familia yako.
  8. M

    Mimi siamini mwanamke anaweza kukosa mwanaume mpaka atafute

    jamani hii lugha gani ya mawasiliano mnaitumia:shock::shock:
  9. M

    Kumruhusu mkeo kufanya kazi ni sawa na kumpa talaka isiyo na maandishi

    Mkuu asante kwa jibu kuntu. Umenijibia dukuduku langu.
  10. M

    Mimi siamini mwanamke anaweza kukosa mwanaume mpaka atafute

    i appreciate ushauri wako mkuu. Umenifanya hadi ni sign in kukujibu. Hahahaha.
  11. M

    Wanaume kutooa wapenzi wao wa muda mrefu

    Mie hiyo sentensi niliyoipigia mstari imenionda ktka mud.How could you?????
Back
Top Bottom