Recent content by madam d

  1. madam d

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Mpe MOYO.
  2. madam d

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    najisikia vibaya nikiiona hii post na zingine zinazofanana na hizi!! nani kakwambia kwenye mitandao kuna mme mwema/mke mwema??????????
  3. madam d

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake waliopo ndani ya ndoa

    pole sana Dagaa!!! Katika Maisha ya Ndoa Uhaminifu ni kitu cha msingi na kikumbwa sana. Ukimwamini Mume wako na yeye akakuamini hayo yote hayawezi kutokea. sio kuaminiana tu ki mwili, hapana mnatakiwa muaminiane kwa kila kitu, kwa sababu mnapofunga ndoa mnakuwa mwili mmoja. pole sana. tatizo...
  4. madam d

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada acheni hizi tabia

    Inategemea mlikutania Wapi na mlikuwa mkifanya nini, huo u boyfriend na u girlfriend ni wa malengo ya mbele au starehe za mda tu????????? huwezi kuwa ulikutana na binti akiwa peke yake tn anakunywa soda/maji then ukamwita akaja na rafikize na kuanza agiza hizo vitu. Ukitaka wakupeleke hivyo...
  5. madam d

    JamiiForums Tanzania Ninayo Nia., Nionyeshe Njia!

    Mambo Queen, nakuwa na furaha sana mtoto wa kike anapojitambua na kuonesha nia yake ya kufanya kazi kwa bidii na kwa jitihada za kutosha. kwanza nipende kukupongeza kwa kuwa una nia na umeitambua nia yako na kile kilicho ndani yako. pili nipende tu kukupa Moyo ya kwamba unaweza kwa sababu...
  6. madam d

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Thanks.
  7. madam d

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imeniuma sana, vijana tuwaheshimu mama zetu

    Kuna umuhimu pia Wa kujua "mawazo ya mwenzako changanya na yako" Kamwe Siwez kumshauri Mme wangu eti amtimue mzazi wake yeyote, awe mama au baba, kwangu Mimi ni Wa thamani kwa sababu wao ndo wamefanya niitwe Mrs.... Laiti Kama wasingemzaa Leo ingekuwa historia nyingnge. NOTE: wamama/wadada...
  8. madam d

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Mungu anamjua aliye wake daima Kumbukeni.
  9. madam d

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simuelewi huyu kaka- ushauri wako ni muhimu tafadhali

    Aachana nae kwani hana mapenzi ya dhati nae. Na huyo mbeba maboksi kawakilisha wakaka wengi Sana ambao now days wanapenda maisha ya kulishwa. Kwa upande wangu huwez niambia unanitengenezea future kutokana na hela za mwanamke mwenzangu. Hiyo ni impossible na ni uongo uliokomaa. Bidada akaxe...
  10. madam d

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tupe njia ulizotumia kushinda tamaa ya kuzini kipindi cha balehe

    Njia yako unayotaka kuendea pm iwe Giza na utelezi.
  11. madam d

    JamiiForums Tanzania Picha: Umakini unahitajika

    Thanks, nimeelewa.
  12. madam d

    JamiiForums Tanzania Nisanaa tu

    Du!!!!!!!!!
  13. madam d

    JamiiForums Tanzania Picha: Umakini unahitajika

    Kama Mimi tu, ngoja aje atudadavulie.
  14. madam d

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tupe njia ulizotumia kushinda tamaa ya kuzini kipindi cha balehe

    Haina maana.
  15. madam d

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke,umri wake usizidi 33

    Toa hiyo utumishi Wa serikali, tunaogopa mafisadi.
Back
Top Bottom