Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,827
- 15,015
hata wangetaka hiyo nisengewamudu mkuu..unaweza kufia kifuani aiseeWalikua wanataka five-some. Kwi kwi kwi..
hata wangetaka hiyo nisengewamudu mkuu..unaweza kufia kifuani aiseeWalikua wanataka five-some. Kwi kwi kwi..
mkuu nilivyowasoma fasta walikuwa hawajaja kikazi..mana walikuwa wanachapa umbea tu..nikaona soon wataintroduce kipengele cha msosi..nikaona isiwe tabu ngoja nisepe
nisingewaweza wote mkuu...mambo ya kusummary life sio ishuAhhh ww ulifanya haraka, walikuwa tayari ao. Tatizo ulikuwa na papara wangu.
Kama hamuyawezi mnayatakia nini jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiii,si chukua anaekunywa TOGWA mbona wapo tele,wa Savanna na St Anna muachie The Boss...
aiseee sawa tu... kwa hiyo mwendo wa KILIMANJARO.... CASTLE LAGER.... SERENGETI..... CASTLE LIGHT ... sawa baba hata maji pouwa tu
asante mkuuNa Safari!
hahahahahahaaa sasa dogo unataka watoto wazuri wanywe castle lager au safari?watoto wazuri wanatakiwa kunywa international brand kama savanah,heinken,saint annah kwa mbali windhoek. kama unataka watoto wa kunywa safari au viroba basi tegemea wanawake low quality kama wa kimboka au manzese.
hahahaha nimechek sn afadhali tusaidie kuwafikishia ujumbe
Jamani kuna wadada wana tabia za ajabu sijawai ona kwanza hana huruma na boyfriand wake siku ukimwambia unamtoa out atakuja na wenzake kama wawili au mmoja saa zingine wa 3 ,mwengine anaweza kuwahi sehemu mliyopanga kukutana akiwa na mwenzake kabla hujafika wataagiza soda.
Ukifika tu Savanna zinaanza mwingine mmekutana tu hajui hata mfuko ulivyo akija waiter ni mwendo wa Savanna na kama kuna Pizza hapo ulipo itaagizwa tu halafu wanachagua watu utakuta mko sehemu labda ya starehe kwako anakomaa na Savanna akiwa hapo hapo utakuta huyo kaja na Castle Lite.
Yaani siku hizi na mimi hata kama uwezo upo nitakaa sehemu ambayo najuana na mhudumu yaani yule mhudumu namwambia kabisa hapa wakija hawa wageni sema kuna Local beer tuu hakuna Saint Anna, wala Savanna, hao hao wakiona hivyo vitu hakuna watakunywa kilichopo.
Yani ni siku hizi ni full vurugu
Mi sipendi hilo neno la kugonga !Unanigongaa au tunagongana,cz utamu tunackia wote iweje wew useme umenigonga mim !
Lakini wewe si ndo anaekunwa na utam wewe ndo wazidi
Kumbeee !!
Wachape wote tu.
Jamani kuna wadada wana tabia za ajabu sijawai ona kwanza hana huruma na boyfriand wake siku ukimwambia unamtoa out atakuja na wenzake kama wawili au mmoja saa zingine wa 3 ,mwengine anaweza kuwahi sehemu mliyopanga kukutana akiwa na mwenzake kabla hujafika wataagiza soda.
Ukifika tu Savanna zinaanza mwingine mmekutana tu hajui hata mfuko ulivyo akija waiter ni mwendo wa Savanna na kama kuna Pizza hapo ulipo itaagizwa tu halafu wanachagua watu utakuta mko sehemu labda ya starehe kwako anakomaa na Savanna akiwa hapo hapo utakuta huyo kaja na Castle Lite.
Yaani siku hizi na mimi hata kama uwezo upo nitakaa sehemu ambayo najuana na mhudumu yaani yule mhudumu namwambia kabisa hapa wakija hawa wageni sema kuna Local beer tuu hakuna Saint Anna, wala Savanna, hao hao wakiona hivyo vitu hakuna watakunywa kilichopo.
Yani ni siku hizi ni full vurugu
Wewe hupata utam % 99 mimi 1tu