Recent content by macsick

  1. M

    Viongozi wa CHADEMA acheni kiburi, kubalini makosa na iombeni radhi Serikali, hali ya Lissu si nzuri

    Jamani hata ingekuwa ww leo ungekuwa tayari kujiacha kwenye midomo ya mamba wakati umeponea chupuchupu? Waombe msamaha kwa kipi hasa..?? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Kwanini nyie wanawake mnafunga pm zenu?

    Hahahhaaa....una vituko ww
  3. M

    Nilipata mpenzi, kumbe mke wa mtu. Alinidanganya mumewe alifariki kumbe yupo hai

    Kama amejua, na baada ya kusikitika unahitaji kujua ni yapi maamuzi yake..akuweke mahali salama wewe ili uishi kwa amani. Na hyo mwanamke acha mazoea naye, ila tunza mimba yako mwanaume, na mtoto umtunze usiache maana kama ni damu yako usiihukumu. Tunza ukiwa mbali nae.
  4. M

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Hy mnayebishana nae kwa jazba utajuaje ni mdg wake Bashii.... Maelezo yake tu yanatosha kuamini ni mkoromije.. msipoteze muda nae
  5. M

    Kurugenzi ya Habari Ikulu mwambieni Rais haya kabla ya kulaumu vyombo vya habari

    Mnooo... Mm napata somo jipya kila kukicha..
  6. M

    Nilipata mpenzi, kumbe mke wa mtu. Alinidanganya mumewe alifariki kumbe yupo hai

    Ndio mweleze mumewe ukweli ili naye aamue cha kufanya.. usimfiche
  7. M

    Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

    Hilo nalo neno hahaha...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
  8. M

    Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

    Ila hao maaskari wanapata wakati mgumu sana, usalama wao hauwezi kuwa vzr baadae maana wanaishi kwa mashaka na kufuata amri.. TZ kama Pakistan jamani
  9. M

    Makapuku Forum

    Mnoooooo
  10. M

    Zitto Kabwe: Haitoshi kumlilia Nape, Tunapaswa kuchukua hatua kumuwajibisha Rais

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alisepa nayo eeh
  11. M

    Paul Makonda avamia Clouds Media na kuwatisha SHILAWADU

    Na mm nimeuliza hilo.. mpuuzi mmoja anajiita Utamaduni.. anatukana hovyooo , nahisi nduguye bashi
  12. M

    Paul Makonda avamia Clouds Media na kuwatisha SHILAWADU

    Yaani kujibizana na ww ni kujishusha sana.. maana mikomo na midomo yako na akili yako inawaza upuuzi tu.. sasa utamtukana nani au ww ndo bibi wa mjukuu? Yaani walewale Bashii style mna jazba kweli[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]...
Back
Top Bottom