Recent content by Macos

  1. Macos

    Tanzania taken to EAC court over pick of judge

    Baada ya miaka Mitatu ya kesi kupinga uteuzi wake EA Court of justice wamthinitisha rasmi Lady Justice Sauda Mjasiri Kuwa Judge wa mahakama ya Rufaa ya EA. Hukumu hio imetoa precedence kuhusu suala la Umri.
  2. Macos

    Tundu Lissu: Nitarudi nyumbani ikiwa Rais Samia ataahidi kuwa nitakuwa salama nikirudi nyumbani

    Kila mtanzania yupo salama kuishi popote anapotaka. Ukitaka akuhakikishie usalama wako peke yako hilo baki tu huko huko kama hao wamekuhakikishia usalama wako. Serikali haiwezi kuchukua dhamana hio halafu chadema waje wakudhuru wapate sababu. Baki yu huko kula posho
  3. Macos

    Anderson Ndambo: Zitto ni mamluki wa CCM anaitumia ACT na Zanzibar kwa malengo binafsi

    Awali ya yote Maandishi anasemekana ni mmoja ya vijana wa Makonda ambao walikua wakitumiwa kuteka na kupoteza Watanzania. Maaruf wakijulikana kama Wasiojulikana. Huko nyuma wakiwa CUF akijjita ati msaidizi wa Maalim Seif wakati uongo. Nafasi ya Makamo wa Rais Zanzibar ni ya Kikatiba Hakuna...
  4. Macos

    Mbowe na CHADEMA mnataka kumkwamisha Rais Samia kwakuwa amewalegezea kidogo?

    Wanataka katiba mpya kwa bunge gani? Watu wa maana wote wanetoka chadema. Na hawana lolote la maandamano wakitishwa kidogo tu wataufyata. Wanamjaribu. Ukweli Watanzania sasa wanataka kujenga nchi yao na uchumi hawana habari na vyama vurugu. Kila mtu anatafuta fursa. Chadema wanajua Mama...
  5. Macos

    Kumbe magaidi kutoka Mombasa Kenya ndio walikuwa wanasumbua Kibiti!

    Kwa hio wewe una justify uharamia na ugaidi wa kidola kuua raia wake kwa sababu ya asali au mkaa ? Utaka raia wakiuliwa wakae kimya ?
  6. Macos

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    SGR ya Tanzania ni mtihani mkubwa kwa Samia. Imefilisi mifuko yote ya Hifadhi pamoja na fedha za Mashirika ya umma. Mapato ya Serikali hayatosho kuendeleza mradi kwa wakati. Mtihani mwengine ni kwamba hii reli haina manufaa yoyote na BANDARI ya Dar ! Shujaa alijenga hii reli ili Wasukuma waje...
  7. Macos

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    SGR Tanzania mpoooo
  8. Macos

    Israel: Benjamin Netanyahu afanya kikao na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi & Usalama na kuagiza Mashambulizi dhidi ya Hamas yaendelee kwa nguvu kubwa

    Inashambulia watoto na raia. Hamas wapo salama kabisa Wayahudi huua zaidi raia ili kutia uchungu na chuki lakini hawapigani na majeshi Hata walipo pambana na Hisbollah walibaki kuharibu Mji wa Beurut badala ya kupigana na wanamgambo hao wa Hisbollah Na kila siku zikienda Hamas wana gain nguvu zaid
  9. Macos

    Fatuma Karume: Zanzibar inaidai Tanzania bara 4.6 trillion

    Hio 4.5trillion ni ndogo kwani inahusu Misaada tu. Kwenye Mapato ya pamoja ya muungano Zanzibar wanatakiwa wapate 4% kisheria lakini hawajahi kupewa 4% badala yake hupewa 2% tu. Kuna ajira katika wizara ya muungano makubaliano ni Zanzibar wapate 21% lakini wanapata ajira zisizo zidi 1% Thamani...
  10. Macos

    Freeman Mbowe: Rais Samia Suluhu anateswa na kivuli cha Magufuli

    Mbowe kachanganyikiwa sana. Majuzi akiongea nyumbani kwake kwa aloita hotuba kwa Taifa alisema amemuandikia baria Rais Samia kumuomba wakutane kuongea mambo ya nchi. Leo anatoka povu wakati Samia amekubali kukutana na vyama vya siasa. Upumbavu tu
  11. Macos

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Documents au voucher za matumizi ya kununua ndege na ujenzi sio national security issue. Alikua anaficha ufisadi na wizi. Matumizi aliokua akificha ni pesa za kodi za Walipa kodi wa Tanzania. Sio pesa zake au baba ake .
  12. Macos

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Prof Assad:Nilipoomba nyaraka za ununuzi wa ndege, SGR na Bandari ya Bagamoyo alikataa kunipatia https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/Prof-Assad%3ANilipoomba-nyaraka-za-ununuzi-wa-ndege%2C-SGR-na-Bandari-ya-Bagamoyo-alikataa-kunipatia.1858118/
  13. Macos

    Chondechonde Maalim Seif Sharif Hamad

    Hata ikibidi wazungumze basi sio lazima maalim awe VP. Act wazalendo watafute yule wanae muona kuwa anafaa kuwa mrithi wake. Maalim yupo 77 sasa abaki kuwa mwenyekiti wa Act kukijenga chama zaidi. VP waitoe hio nafasi kwa Dkt Faki aliekua mgombea mweza wa Membe au Othman Masoud aliekua...
Back
Top Bottom