Ila me nahisi muda hatujaweka sisi nahis muda umeanza pale Mungu alipoanza kuumba (kwa wanaoamin) maana bibilia inasema HAPO MWANZO MUNGU ALIUMBA MBINGU NA NCHI hivyo nahisi alipoanza kuumba tyu ndo kuhesabu kukaanza maana before there were nothing
Hoja yako uliyomaliza nayo inajaribu kugusa kitu kinaitwa grandfather paradox
But me kwa akili yangu nahis ukirudi nyuma ufanye hayo mauaji hayatatokea kwa sabb nikitu ambacho kilishapita means kwa lugha rahis tunaweza kusema past us just read only and not read and write by killing them nothing...
yah ninachojaribu kuongelea kwenye huu uzi ni kuhusu historia ya afrika tunayoijua sasa hivi kama ndo sahihi ndo maana najaribu kutafta kweli mbalimbali lakini cha ajabu waafrika ndo wa kwanza kunipinga aidha ni kushukuru kwa mcahngo wako wa muhimu
tujaribu kuendelea na uchunguzi huu wa kihistoria nitajaribu kidogo kuangalia mada ya ugunduzi wa bara la amerika pia nadharia kuwa watu wa kwanza wa amerika afrika naanza kama hivi
Ugunduzi wa bara la amerika
Wengi wetu tumejifunza kwamba Columbus ndo mtu wa kwanza kufika amerika akiwa kama...
Ingefaa ndugu ungekuja na ukweli kujibu hoja yangu maana hapa hii kitu nimeipta kwenye gazeti la hiyo tarehe nimetaja
Asante ndg bado nipo chimbo najaribu kutafta mengi kuhusu hili swala
Ingefaa ndugu ungekuja na ukweli kujibu hoja yangu maana hapa hii kitu nimeipta kwenye gazeti la hiyo tarehe nimetaja
Asante ndg bado nipo chimbo najaribu kutafta mengi kuhusu hili swala
Katika pitapita zangu mtandaoni nimewahi kukutana na watu wengi wakilalamika kuhusu kufichwa kwa historia halisi ya Afrika na kufundishwa historia ya wakati wa ukoloni jambo hili nililipenda sana hasa kutokana kuwa mimi ni mtu nayependa kufukunya mambo mbalimbali, nilivyotafakari nikaona hii...
Kwa waliosoma biology zipo sababu za kitu kuwa hai nazo ni naomba nizitaje kwa kizungu
1. Reproduction
2. Growth
3. Feeding
4. Respiration
5. Excretion
n.k hzo zitatosha hapo
Virus anaweza kuwa katika hali mbili yan hai au sio hai ni hai kwakuwa akiwa kwenye mazingira yanayoruhusu yan (when...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.