Recent content by Maco marco

  1. M

    Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

    Utakuwa umenielewa bibilia haijataka kutoa description zaidi kwa sababu sio center of attention, lengo ni kumjua Mungu sio shetani, sababu ukimjua Mungu huna haja ya kuangaika na shetani, ndio maana maelezo ya miungu hiyo ni machache kwenye biblia
  2. M

    Najiuliza wakati shetani anaasi mbinguni, alishawishiwa na nani? Maana hakukuwa na shetani muda huo. Binadamu tunashawishiwa na shetani dhambini

    Ni kweli binadamu, tuna upekee mbele za Mungu ila hakuwahi kuwafanya malaika wamsujudie mwanadamu, ukristo unaamina anaepaswa kusujudiwa ni Mungu pekee... Lakini kiuwezo malaika wana uwezo mkubwa kuliko binadamu, ni kinyume na kanuni za asili kiumbe chenye uwezo mkubwa kuwa chini ya kiumbe...
  3. M

    Najiuliza wakati shetani anaasi mbinguni, alishawishiwa na nani? Maana hakukuwa na shetani muda huo. Binadamu tunashawishiwa na shetani dhambini

    Umejibu vyema, sema nawaza je katika muda wowote hapa duniani kuna mtu ambae ni msafi na mtakatifu? Au ndio lisilowezekana kwa mwanadamu kwa Mungu kinawezekana?
  4. M

    Najiuliza wakati shetani anaasi mbinguni, alishawishiwa na nani? Maana hakukuwa na shetani muda huo. Binadamu tunashawishiwa na shetani dhambini

    Yes, swali lake ni zuri sana tu, sababu kumbuka bibilia inasema kwenye mbingu mpya na nchi mpya dhambi haita kuwemo... Sasa je kivipi wakati hata mbinguni hakukuwa na dhambi lakini shetani alipata wazo la dhambi? Kama binadamu tatukuwa huru kama kipindi hicho na sasa, hawatafikiria uovu kama...
  5. M

  6. M

    Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

    Biblia inasema kipindi cha ibrahimu, babeli iliyokuwa ur ya wakaldayo waliabudu miungu mingine tofauti na Yahweh hilo linatabulika ila ni Miungu gani tena haswa kwa majina nadhani haina maana kwa tuwajue ili iweje? As long walikuwa miungu wasiopaswa kuabudiwa utambulisho huo unatosha...
  7. M

    Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

    Maana ya uisilamu si ndio kujisalimisha, unajua sababu gani wamesema hivi, sababu hakuna maandiko yeyote ya 'kabla ya kushushwa kwa Koran kwa Mohammad' yanayoongelea uislamu popote, ndio maana mkiulizwa hilo swali mnakimbilia kusema maana ya uislamu ni kujisalimisha kwa Mungu Pia hao wayahudi...
  8. M

    Nchi inapaswa kujua Lissu alikuwa anawasiliana na nani na maudhui ya mawasiliano yalikuwa yapi

    Hivi tumia akili hata ya kuvukia barabara, ndio wakizitaka wanazipata, kwanini sasa wazitake siku chache kabla na mpaka siku ya shambulio? Tukisema wanahusika tunakosea?
  9. M

    Haya ni maringo ya Wakenya au ni kujiwekea standard juu dhidi ya majirani?

    N Ndugu umeshaenda Tanga lakini, wasingeshangaa
  10. M

    Makubaliano ya Tanzania na Japan kutumia local currency kuagiza bidhaa Japan yameanza?

    Sawa af ukishampa Tsh zako yeye anazipeleka wapi...
  11. M

    Makabila mengi yenye wanawake wazuri kama Wapare wanapewa sifa ya kuwa malaya kwasababu ya wivu wa kijinga

    Ulianza vizuri kwateta dhidi ya umalaya mpaka ulipofika hapa ndo nika confirm... 🗑️🗑️
  12. M

    China mbona ina uchumi mkubwa ila haina ujasiri wa kijeshi?

    Ndio, yaani You can't call yourself peaceful unless you are capable of great violence.. Na huyo ndio china
  13. M

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    Tuna Roho mbaya... Huu ndio mzizi wa umasikini Africa, maarifa dio shida kwani yanaweza kuhamishika, raslimali zipo za kutosha, lakini ili mtu uendelee lazima kuwe na balance kati ya akili, mwili, na roho... Africa kimwili na akili tupo sawa ila shida tuna roho mbaya ya mtu kujiangalia yeye tu...
  14. M

    Kijana wa miaka 14 auawa kwa risasi akijaribu kumdunga kisu afisa wa polisi wa Israel

    Hivi kama huyo mtoto angefanikiwa kumchoma kisu jamaa asingedhurika hata kufa.... Sasa kwanini akiuawa mtetea ni mtoto, hii chuki wakulaumiwa ni wanaonufaika na mzozo wa palestina na israeli, shauri yao wanaopigana... Kuna busara katika kugeuza shavu la kushoto, kuliko jino kwa jino na...
  15. M

    Kijana wa miaka 14 auawa kwa risasi akijaribu kumdunga kisu afisa wa polisi wa Israel

    Yes, alaf na wewe unakufa story inaishia hapo mazayuni wanabaki...
Back
Top Bottom