Recent content by mackmambo

  1. mackmambo

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Naomba kufahamu naweza kupata wapi samaki sato na sangala mwanza kwa bei ya jumla anaefahamu anicheki hata PM
  2. mackmambo

    Je, naweza kuendesha maisha yangu na familia kwa kutegemea mikeka tu?

    Ajiunge na tipmaster255 uyo mwamba ni noma na stake zake ni milion 2 had 5m kuweka lakin anapiga mishindo balaa kila siku ni odd 2 tu
  3. mackmambo

    Unawekeza Tsh 30m unapata kodi 300k kwa mwezi. Mwenzio kawekeza Tsh 2m anapata hiyo hiyo

    BORA KUWEKEZA BIASHARA YA NYUMBA KULIKO BIASHARA YEYOTE MI MWENYWE SHUHUDA HOME HAPA KWA MWAKA TUNAPOKEA SI CHINI YA MILION 20 NA KITU KWENYE NYUMBA 4 HUKU TUNAPIGA HARAKATI ZETU ZINGINE TUNAJUA MWISHO WA MWEZI UWAKIKA CHANGAMOTO KWENYE HII BIASHARA NIKUCHELEWESHEWA KODI YAKO TU AMNA KINGINE NA...
  4. mackmambo

    Umasikini wa Watanzania chanzo chake ni kupenda kujenga nyumba ya kuishi kwanza badala ya kuanzisha biashara

    [emoji16][emoji16][emoji16]acha kupotosha watu sisi dar tuna nyumba zaidi ya 4 lakin upiga kwa mwaka hela tunayo chukua si chini ya milion 16 na nikufumbue katika biashara ambayo haina hasara ni nyumba ni bonge la biashara watu kila siku wanakuwa wanahitaji kuishi maisha yao hapo kwenye nyumba...
  5. mackmambo

    INAUZWA Nauza vitu vilivyotumika (used) vya ndani Mwanza

    njoo dar nikupe chumba river side kwa mwezi elfu 60 tu
  6. mackmambo

    Naomba mwongozo jinsi ya kupata lebo na vikopo vya plastic vyenye mifuniko

    Label ndio inakuwa na gundi yake ila vikopo unaweza kupata kariakoo na inategemea ni aina gan ya kikopo unachokitaka.
  7. mackmambo

    Siasa ni Kilimo na Kilimo cha Mitiki kinalipa tuache ujinga

    Aya 2035 nitakuja kusoma huu uzi tena
  8. mackmambo

    Nataka kufungua duka la dawa za mifugo (veterinary drugs) naomba msaada wa mawazo

    ndungu nicheki pm nikupe mchongo mzima hadi dawa zinapopatikana kwa bei ya jumla
  9. mackmambo

    Wazo la biashara kwa vijiji vya mbali

    Utakuja kufa uko we aya tu.
  10. mackmambo

    Natafuta chumba maeneo ya kurasini karibu na TIA

    unaonekana unaenda kuwa first year huko utaki dalali we kaaa hvyo hvyo kama utapata wanafunzi wenywe madalali uko wanauziana chumba kama mtu akimalza
  11. mackmambo

    Natafuta laptop ya kununua

    0716171092 nicheki watsap
  12. mackmambo

    Nini kinaweza kuwa chanzo cha Kuku kuvimba macho?

    iyo ni infectious coryza (mafua makali ya kuku) hii inasababishwa na bacteria ambao hutokana kutoweza kusafisha banda pia na kuku kukosa hewa bandani na vitu vingine vyo ugonjwa huo unaweza kutibu kwa dawa zifuatazo tylosin na fluban
  13. mackmambo

    Karibu kujipatia virutubisho vya mifugo aina zote

    *TUNAUZA VYAKULA VYA MIFUGO KWA BEI NAFUU* Huduma ya Usafiri ipo.[emoji1631]🛺[emoji597].``` Mashudu ya Alizeti - @480/kg Mashudu Alizeti sagwa- 500/kg Mashudu ya Nazi - @350/kg Mashudu ya Ubuyu - @350 Mashudu ya Pamba - @800/kg Chokaa - 100/kg Damu kavu - 500/kg Mifupa Og - 300/kg Chumvi -...
Back
Top Bottom