Nikisoma chuo cha usafirishaji (N.I.T) nitapata kazi wapi?

Nikisoma chuo cha usafirishaji (N.I.T) nitapata kazi wapi?

Soma ukifaulu degree nikuunge na mzee Abood ana gerage pale morogoro.

Specialize kwenye marejeta. Huwezi pata kazi nyingine zaidi ya ufundi gereji
D.D.D.D.D.
Mafundi gereji wengi ni wezi na waongo.
Hata mkienda nae dukani mkanunue spear wote,atakupeleka kwenye duka lake spesho la kukupiga,baadae anafata cha juu chake dukani.
Yani kwa kifupi fundi gereji akukosi kama akitaka kukupiga.
 
Wadau, mwenye uelewa kuhusu utamu wa elimu ya usafirishaji nitatusua kweli kwenye maisha ya asaiv au ni chenga chenga nisipoteze muda wangu.
Miaka yote unasoma kuanzia vidudu hadi unataka kwenda chuo hujui namna ya kujijibu hili swali...

Yaani ulikuwa unaenda shule kufanya nini ndugu... Unatuabisha watu wengi sana
 
Back
Top Bottom