Mabaya ya Moshi na Kilimanjaro
1. Ardhi hawa jamaa hawauzi ardhi kirahisi.
Usinunue eneo Moshi bila kufanya uchunguzi wa kutosha unaweza kujikuta kwenye mgogoro na familia
2. Manispaa ina eneo dogo sana hivyo mji unatanuka kwenda Moshi vijijini ..maeneo ya KCMC , kiborloni unaweza kuuziwa...
Naishi Moshi toka 2014 mpaka sasa na nimezurula kiasi fulani ndani ya Tanzania.
Kuhusu Moshi na Kilimanjaro kwa ujumla
Mazuri yaliyopo
1. Elimu ..jamaa wanathamini sana Elimu ..familia nyingi kiwango cha chini cha usomi ni kidato cha nne
2. Fighting spirit - wanapambana sana katika kutafuta...
Wakati Simba washaenda SA kuandaa mazingira ya second leg ....Yanga ,Azam na mafala wengine wanangaika katika media kuongelea game ambayo ishaisha...........
Endeleeni tu kuwa wa baridi mwakani mnakuwa bao la shabaha..........
Fist game na kibonde second game Pyramid hawa,,,,......Safari imeisha
Katika maelezo ya Mpina hapo juu ..yaliyoletwa na mleta uzi yana sentensi hii
""mikopo ya elimu ya juu kutoka bilioni 348.7 mwaka 2015 hadi bilioni 450 mwaka 2020.''
Anaona raha kuitamka tu, angejua wanufaika tuliishi kama "mashetani" baada ya upindishaji wa sheriia ya Makati uliofanywa na...
Labda mtauana ndani ya chama .....watanzania hawa hawa ambao hata kuandamana hawajawai...
Teh .....teh imekula kwenu
Hilo lenu ambao mpo madarakani watanzania wala msituingize
Uanajua kwa nini mnapambana wenyewe kwa wenyewe ......
Hakuna uchaguzi utakaoamuliwa na wananchi la zaidi watu wanaweweseka ishu ya "nomination " ndani ya chama......
Watu wanaogopa kuliwa kichwa katika mchujo ......
Ndo maana watu wanaruka na kukanyagana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.