Recent content by Machuchu

  1. Machuchu

    JamiiForums Tanzania Mimi nilijua Akili za Ufaulu wa Darasani / Chuoni tu ndiyo kuwa Genius kumbe Mtu anaweza hata akawa hana Elimu wala Exposure bado akawa ni Genius pia

    Umenikumbusha kama huyu anaemiliki mabasi ya Lindi gari zinaitwa BARAKA ni STD 7
  2. Machuchu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoka kupokea wageni

    Huko ni kujiendekeza tu. Kabla ya kuolewa dada yao walikua wanaishije, maisha magumu sasahiv WAGEN ambao hawana moangilio sio fresh na Wala sio roho mbaya Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
  3. Machuchu

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia NECTA, Posho kwa walimu wanaosahihisha mitihani ya Taifa sio haki

    Mimi ndio maana kila mtoto WANGU akisogea darasa huwa natenga siku NANUNUA sukari, sabuni, chumvi, vitunguu naafuta nawapelekea japo kidogokidogo na huwa wanafurahi Sana zaidi ya Sana. Utakuta mwalim kavaa liatu au shati limechakaa had huruma Yaani hata Mimi ninae fanya biashara ya umachinga...
  4. Machuchu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa cha kweli: Tarimo alimlipa Measha Toyota Stout baada ya fumanizi

    Fala sana
  5. Machuchu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa cha kweli: Tarimo alimlipa Measha Toyota Stout baada ya fumanizi

    Sio HARAKA kama anakimbizwa na kenge wa bluu
  6. Machuchu

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Asasi inayohamasisha Ushoga na Usagai yafutwa

    Askari wa zenji ndio kaibua haya yote na kiwafungua macho wananchi na TAIFA kwa ujumla
  7. Machuchu

    JamiiForums Tanzania Hatimae nimepona Masundosundo

    Huu ndio ugonjwa GANI au unaaminisha mafundofundo (tonses)
  8. Machuchu

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana uvimbe kwenye ovari (ovarian complex cyst)

    Yaan nikisikia hivi mnazidi kunipagawisha
  9. Machuchu

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana uvimbe kwenye ovari (ovarian complex cyst)

    Twashukuru sana
  10. Machuchu

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    Kwa kipato chake, mbona nyingi Sana Mimi binafsi million ya pamoja sijashika kama yangu....mtu anasilimua kafilisika elfu 50 itakua M.4 acha masihara mkuu alaf KUMBUKA kakwambia kwa miaka iyooo
  11. Machuchu

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    Kunywa soda hii sentesi ya mwisho
  12. Machuchu

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    Hayo ndio yanayo nikost Mimi na mume WANGU... FUNGA, fungua kila siku ela z uku zinaend kununua vinywaj kwa wiki yeye peke yake anakunyw kret 3 had 4 maana anajua n MARAFIKI na si mchoyo....nimeongea NIMECHOKA NIMEAMUA nikae kimya na mm sinywi pombe lakin mwenzangu Muhaya huyu anakoga sio kunywa
  13. Machuchu

    JamiiForums Tanzania Kitunguu swaumu kinazuia influenza!

    Unatafuna then inapiga mswak ukimaliz hapo unatafuna PK Ile ya blue yenye mint
  14. Machuchu

    JamiiForums Tanzania Faida ya kitunguu maji katika mwili wa binadamu

    Mimi ndio juice yangu kuu kabla sijanywa chai Ila ukinywa lazim ukae utulie kama dakika5....kuhus ushuz Wala haunuk
  15. Machuchu

    JamiiForums Tanzania Hakuna uzazi

    Nimejifunza kitu Asante sana ..... Ila umishafanyiwa opereshen ya mayoma yanaweza KURUDI kwa muda gani tena
Back
Top Bottom