Recent content by machori

  1. machori

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki

    mbona kila wiki samaki wanakuja dar es salaam kutokea mwanza ...samaki wanaokamatwa ni ambao wapo chini ya kiwango cha serikali ...kama samaki amekizi viwango hawezi kukamatwa
  2. machori

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki

    Mbona napatikana 0745703651 ..nchek apo
  3. machori

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki

    sawa ..sema kama huna maelezo ya kutosha punguza maneno
  4. machori

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki

    ki vipi mkuu ..maelezo yako hayajakaa poa ..afu wengine tunadungu zetu wanafanya hii kazi sijawahi kusikia kitu kama hicho
  5. machori

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki

    habari zenu wadau ,,,nataka nifanye biashara ya samaki aina ya sangara na sato toka mwanza naleta dar es salaam ,nmefuatiria mambo yote yanayohusiana na biashara hii ila nakwama sehemu mja tu ya kuhifadhia mzigo(freezer) kwani kiasi cha pesa nilichonacho hakitoshi kufanya yote .Naomba msaada...
  6. machori

    JamiiForums Tanzania Nauli ya kwenda Marekani

    jamaa kauliza nauli ya kwenda u.s.a ...but ww umemtajia ya washngton
  7. machori

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwezi amini nimepigiwa mke wangu kweupe

    kak ..hapo hamna amani tena kwenye ndoa afu uwaminifu ndo umeisha kabish chamsngi we mwambie ukwel afu akueleze sababu ya yeye kufanya vle huenda kuna mahali unakwama
  8. machori

    JamiiForums Tanzania NAFASI YA KAZI

    jamaa anajkuta anajua watu zaid ya mama zao
  9. machori

    JamiiForums Tanzania NAFASI YA KAZI

    no co mimi ..ila kuna jamaa yupo tayar kwa kaz hyo
  10. machori

    JamiiForums Tanzania NAFASI YA KAZI

    kuna mtu anazo sifa mnazohitaj
  11. machori

    JamiiForums Tanzania NAFASI YA KAZI

    0745703651 ..nichek apo
Back
Top Bottom