Recent content by MachoMakavu

  1. MachoMakavu

    Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

    NECTA IT yao inabidi wajiongeze. Huwezi kuweka link moja watu wote kuangalia matokeo hapo..bandwidth lazima izidiwe!!
  2. MachoMakavu

    Mhe. Masele: Kiongozi Kijana TZ asiyeogopa lolote (CV Attached)

    Huyu ndo aloshinda kwa kura moja!?
  3. MachoMakavu

    The rise and fall and re-rise of Christopher ole Sendeka

    Ole anatumiwa tu na Mengi..hana jipya!
  4. MachoMakavu

    TBC iache mchezo huu mchafu

    unalalamika bila kusema wamefanya nini!
  5. MachoMakavu

    Nyumba 3 - Bedrooms inapangishwa 250,000/=

    Dah..we vigezo vyako siviwezi!
  6. MachoMakavu

    Nyumba 3 - Bedrooms inapangishwa 250,000/=

    Hakuna chumba chenye master. Kingekuwepo isingekua bei hiyo! Jikoyes liko fresh
  7. MachoMakavu

    Nyumba 3 - Bedrooms inapangishwa 250,000/=

    Mabanda ya kuku tena!?
  8. MachoMakavu

    Nyumba 3 - Bedrooms inapangishwa 250,000/=

    mwenye nyumba hana tatizo na mpango huu.
  9. MachoMakavu

    Nyumba 3 - Bedrooms inapangishwa 250,000/=

    Nyumba nimeilipia mwaka mzima, kodi inaisha November this year. Natafuta mtu wa kunirudishia miezi ilobaki. Natarajia kuhama end of March. Details: -- 3 Bedrooms, choo, bafu na jiko. -- Iko ndani ya fense. Kuna nyumba nyingine moja ndani ya the same fense. Kuna ua unaoweza kulaza magari...
  10. MachoMakavu

    Msaada: Mkataba Kati ya kampuni ya ndani na ya nje

    WanajF, Kuna kampuni ya nje tunataka kuingia nao mkataba wa kutuuzia bidhaa. Wameleta mkataba kwenye kipengele cha jurisdiction kinasema mkataba utatambulikwa kwa cheria za nchi yako (wameitaja). Hii imekaaje kwa sheria zetu, tutakua tumekiuka chochote kwa kukubali? kuna risk yoyote hata kama...
  11. MachoMakavu

    Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

    Unadhani aliamka tu asubuhi akaorganise wenzake wakampindue Rais bila kuwa na back-up ya wanasiasa na wafanyabiashara nyuma yake? Ana bahati lile jaribio walilifanya kwa Nyerere, ungekua utawala wa nchi nyingine hizi za kiafrika hata mahakamani kesi zao zisingeenda!
  12. MachoMakavu

    Tanzania TVs Andoid App

    Imeanzia Sandwich devices 3.0 nakuendelea ili niwbeze kufaidisha na tablets pia!
  13. MachoMakavu

    Tanzania TVs Andoid App

    Thanks mkuu..will do!
Back
Top Bottom