Mhe. Masele: Kiongozi Kijana TZ asiyeogopa lolote (CV Attached)

bingo ya ubunge ndiyo nini ? Ni bora ufafanue mkuu kwa manufaa ya vizazi vya baadaye .
 
msimtishe masele nyie wala makombo ya waingereza. tumeona wajerumani wakitoswa na mzanaki. kwa nn wa tz wanageuka ghafla kuwa toothless dogs wagging their tail before uk's ambassador! masele anatosha kuwa amiri jeshi wetu. hata mjipendekeze kwa wingereza roho yao iko kenya. tuna marafiki wa jadi tukiwa huru kuliko uk
 
Viongozi wetu mara baada ya kuteuliwa inapaswa kwenda kozi ya DIPLOMASIA pia na SHERIA kwa ajili kuwapa msasa ya jinsi ya kujibu/kujenga hoja vinginevyo nchi hii tutatengeneza maadui dunia nzima juzi tu AG/JAJI WEREMA kawaudhi wabunge toka nchini ZANZIBAR, kasha Membe akarusha kombora RWANDA (na M23 yao) sasa Masele na Uingereza duuh! bado MALIMA na VATICAN
 
badala ya kujadili hoja yake watu wanajadili CV yake, hivi angekuwa na CV kama unayotaka ingeongeza nini au kupunguza nini katika hoja yake?
 
Hacha tabia za kihaya wewe, mnaojifanya wasomi mtabaki kila Siku kujadili maisha ya watu, Kama wanawake wa uswazi,mwenzenu ndio keshatoboa hivyo
Cc:wote wenye roho za like,hakika mtaendelea kusubiri
 
badala ya kujadili hoja yake watu wanajadili CV yake, hivi angekuwa na CV kama unayotaka ingeongeza nini au kupunguza nini katika hoja yake?

Ingemsaidia kuto ku ropoka hovyo kama alivyo fanya
 
Yeye kufanya kazi standard chartered kwa hiyo anaona anawajua uk..halafu ni kweli na yeye anataka kugombea uraisi..?! Ila hapa kwa waingeteza kaingia cho cha kike wewe utaona..!!!
 
msimtishe masele nyie wala makombo ya waingereza. tumeona wajerumani wakitoswa na mzanaki. kwa nn wa tz wanageuka ghafla kuwa toothless dogs wagging their tail before uk's ambassador! masele anatosha kuwa amiri jeshi wetu. hata mjipendekeze kwa wingereza roho yao iko kenya. tuna marafiki wa jadi tukiwa huru kuliko uk
kula kulala mna taabu kweli kweli.... hujui cku iz siasa za dunia zinafanywa kwa blocks?..... we unamtegemea mchina? hatujifunzi chochote kwa mchina achilia mbali bodaboda zinazoua wadogo zetu na dada zetu kila uchao...... mchina anachangia bajeti ya maomba omba wa CCM kwa asilimia ngapi? mkikuwa mkaanza kujinunulia nguo wenyewe...mtaacha..
 
Honestly, I feel sorry for this young man. Next time remember to use your brain before opening your mouth.
 
Tuna tatizo kubwa katika uteuzi wa viongozi wetu!!!Rais anateua garasa bila kuzingatia ukubwa wa majukumu.Dogo hajui kabisa ukomo wa madaraka yake,unajiuliza je aliyemteua ana malengo yaliyo wazi yanayopaswa kufikiwa na wateule wake ili nchi isonge mbele
 
Back
Top Bottom