Recent content by Machmadem

  1. Machmadem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu analalamika simtafuti

    comment la kibabe sana
  2. Machmadem

    JamiiForums Tanzania Admin wa Mashujaa FC yuko ni mbunifu kuliko Maadmin wa Social Media zote za michezo nchini, tumpe maua yake

    fatilia page ya jkt tanzania jamaa ana kamusi ya menono yote
  3. Machmadem

    JamiiForums Tanzania Admin wa Mashujaa FC yuko ni mbunifu kuliko Maadmin wa Social Media zote za michezo nchini, tumpe maua yake

    ni wewe tu mkuu,sisi tunatumia old version
  4. Machmadem

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake

    hiv inaqezekana vip mtu kubakwa mara 5 mbona story za kufukirika hizi
  5. Machmadem

    JamiiForums Tanzania Bus la Ally's lagonga Kichwa cha Treni Manyoni Singida, Watu 13 wafariki Dunia, 25 wajeruhiwa

    Safari za usiku zipigwe marufuku lasivyo zita gharimu maisha ya watanzania wengi
  6. Machmadem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakikisha mwanamke uliye naye ana hela au anatoka familia ya kitajiri

    Uko sahihi kiongozi kwenye dini ya kiislam Mali imetajwa kama kigezo mojawapo cha kuchagua mke
  7. Machmadem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke amekuwa mhitaji sana wa pesa

    Pole kijana hivi bado tu unatongoza mpka leo nakusikitikia sana maana naona unausaka umaskini kwa hali na mali. iko hvi now baadaya ya tukio la kupewa namba chati siku 2 siku ya tatu ita gheto
  8. Machmadem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maana mbaya ya Emojis kwenye Jamii imefanya nikosane na Bebi wangu

    We jamaa unalelewa na mwanamke
  9. Machmadem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwamba alivyojimaliza mwenyewe baada ya kugundua kuwa watoto aliezaa na mkewe sio wa kwake

    Umeharibu mwishoni , ila stor nzur
  10. Machmadem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

    "Kwenye kikao cha leo nilichokaa na PESA, MAPENZI na MIMI, tumehitimisha kwa kushikana mikono na PESA , MAPENZI yameshika njia yake"
  11. Machmadem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

    Nimepiga chini videm kama sita hapa nimebakiza mmoja tu , kiukwel najiskia mwepesi na nina amani , nikipiga chin na huyu 1 sijui ndo itakuaje
  12. Machmadem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu mbaya wa sura na muonekano ila ndie anaeniweka mjini

    Huyo nichaguolako.. nichaguo lakooo
  13. Machmadem

    JamiiForums Tanzania AVN number kutofautiana na transcript ya chuo.

    Una sup kijana rud chuo
  14. Machmadem

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Natafuta TECNO CAMON 20 PRO
Back
Top Bottom