tafauta iphone 14 pro max kwa mtu ikague ukiisharidhika kakague na hiyo ya mshkaji wako,ukiona kuna mlingano basi yenyewe.Samahan ndugu. Kuna mtu anasimu ya iPhone 14pro max. Yeye simtumiaji na amepewa tu ni mwanawe atumie yeye haiwezi amenambia nimpatie 35000. Nikama 1.15M sh. Sasa nawezaje kujua kama sio fake?
Samahan ndugu. Kuna mtu anasimu ya iPhone 14pro max. Yeye simtumiaji na amepewa tu ni mwanawe atumie yeye haiwezi amenambia nimpatie 35000. Nikama 1.15M sh. Sasa nawezaje kujua kama sio fake?
ShukranChukua serial number za hyo simu then icheki kwnye google, km ni yenyewe google watakuambia kila kitu kuanzia
Rangi ya hyo smu
Aina ya hyo simu (14 pro ama pro max)
ujazo (yaani ni gb ngap)
mwaka gani imekua activated
Bei gani mkuuMkeka wa Google Pixel leo, karibuni mijipatia simu second hand za uhakika... usikimbilie mteremko
View attachment 2748769
View attachment 2748770
View attachment 2748772
View attachment 2748774
View attachment 2748776
View attachment 2748778
Bado ipo au ishatokaWadau nauza iphone 6s Gb 128,
Bei:240000
Simu iko Mwanza pasiansi.
Bado hii active