Usiku wakati wa kulala chukua maziwa fresh ya uvuguvugu kikombe kimoja na vijiko viwili vya asali mbichi (nyuki wadogo au wakubwa) changanya kunywa ......usinywe asubuhi utasinzia saana
Ni wewe mwenye roho hiyo kuna wanaume wana mambo ya kiree Sana..... Mimi alisubiri nikasafiri akabeba hadi dekiio[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka ya nyuma ilinitokea...... Dah acha tu, sikukubaliana na Hali halisi iliniumiza Sana maana nilikuwa naona bila Jamaa siwezi Dah... Ila niliumia jamani but time heals everything, nikaamua nikamsamehe nikamove on now am happy na nimejifunza kukubali matokeo iwe nimeloose or nimewin
Sent...
Kichwa kinabeba Mengi Sana siandiki hili nikutishe but Bibi yangu aliumwa kichwa almost 20 yrs mwishoni kabisa tunaambiwa ana kansa ya koo na ubongo..... Hilo sio Tatizo dogo liangalie kwa ukaribu
Nyingine tena..... Siku hy nipo home Nimekaa sebulen Akaja mtu akagonga nikaenda kumsikiliza nikamkuta muuza mkaa Katuletea mkaa( muuza mkaa Kutoka bush) Nikamsalimia nikamuona ananiangalia tu kumbe bana nilikuwa Nimevaa surual halafu zipu imefunguka saa nyngi ( Mimi ni KE) na sijavaa Chupi basi...
Nakumbuka Enzi hizo nilikuwa Nasafiri kwenda Rwanda na taqwa..... basi Tumbo likaanza kunisumbua na bus letu lipo Katika folen ya Kukaguliwa .....tumbo likachachama nikaamua Nishuke nikaangalia kwa mbali nikaona Kama nyumba nikajisogeza maeneo hayo Nikamkuta mama wa makamo anasonga ugali basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.