Recent content by machagi

  1. M

    Kwanini kunguru akifa hatoki funza?

    Mkuu kasome tena Bible ujiridhishe, njiwa alikuwa mjumbe wa pili
  2. M

    Kumbe..!! Nilikua sijaelewa miaka yote hii....

    Kwa kiongozi akishatoka madarakani waga yanasemwa mengi sana, raisi hawezi kupendwa na kila mtu ata siku moja, haya yalikuwa wapi kabla hajamaliza muda wake na uzuri wa nchi ya marekani wanachi wana uwezo wa kusema chochote kuhusu kiongozi wao ata kama ni jambo la kumdhalilisha All in all hii...
  3. M

    Blood group O + and -

    Mkuu sijui ulikuwa na haraka gani, inaelelea ulikuwa na maana nzuri ila ulichokiandika nadhani unaelewa mwenyewe tu
  4. M

    Nauza Unga

    Biashara ya unga imekuwa mbaya sana hizi siku za karibuni maana mnunuzi kawa mmoja nayeye ndio anapanga bei, mtafute kiongozi wa chama cha makondakta anaweza kununua ila kwa bei anayotaka yeye kama utaridhika mfanye biashara then yeye ndo atauza kwa wateja wake
  5. M

    Nikasomee nini kwa matokeo haya?

    Kama kombi hazijabalance hapo huwezi kuchaguliwa shule za government, ila kama nia yako ni kusoma advance basi inabidi uende private school, huko unaweza kusoma
Back
Top Bottom