Nauza Unga

Kazitunayo

JF-Expert Member
Mar 30, 2013
3,773
3,160
Nauza unga natafuta wateja bei zangu ni nafuu sana kilo 1 sh 700 tu upo wa aina zote
 
Ungan wa nini? Mahindi
Mtama au just unga?

Kama ni unga ninaoujua utumikao kama chakula(ugali,uji etc) ulipaswa kusema uko wapi ili wateja wajue.
Mawasiliano.

Ila kama umeanzisha Uzi ukimaanisha unga madawa ya kulevya ukiwa na lengo la utani
Basi tena maana hilo jukwaa sio jukwaa la jokes
 
Biashara ya unga imekuwa mbaya sana hizi siku za karibuni maana mnunuzi kawa mmoja nayeye ndio anapanga bei, mtafute kiongozi wa chama cha makondakta anaweza kununua ila kwa bei anayotaka yeye kama utaridhika mfanye biashara then yeye ndo atauza kwa wateja wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom