hakuna tatizo kabisa.Hello Doctor.. Embu nipen maelezo kuhusu mama mjamzito mwenye damu group O- negative na mume wake ni group O-positive kuna shida kwa mtoto atakaezaliwa ....????
Mkuu sijui ulikuwa na haraka gani, inaelelea ulikuwa na maana nzuri ila ulichokiandika nadhani unaelewa mwenyewe tuMtoto wa kwanza hakuna shida hapo ila mtoto wa pili ndo itakua tatizo though kuna ant antibodies ani anti antibody D inayo supress hizo antibodies ko mtoto wa pili atazaliwa safe tuuu though mama atakua na lowered immunity
Hahah namaanisha mtoto wa pili hatakua salama mimba itakataliwa kutungwa na hata ikitungwa itakua expelled out...... Though anaweza kutumia hizo dawa. Ambazo ni immune depressant ili mimba isikataliwe na mwili na mimba itungweMkuu sijui ulikuwa na haraka gani, inaelelea ulikuwa na maana nzuri ila ulichokiandika nadhani unaelewa mwenyewe tu
Kundi o- negative.Shida ipo ndugu ingawa inawezekana isijitokeze kwa mimba ya kwanza ila inashauliwa kuchoma sindano inayoitwa Ant D. Mfano mzuri ni Mimi mwenyewe mke wangu zimeharibika mimba mbili kwasababu ya kuwa na kundi la damu o+. Saizi nimechoma hiyo Sundano baada tu ya Kuwa ameshika mimba. Kwahiyo nakushauri ni vizuri akachoma hiyo sindano wiki ya 28 na baada ya mtoto kuzaliwa apimwe kundi LA damu kama atakuwa na rhesu + itabidi achome sindano nyingine kwaajili ya mimba zitakazofuata. Kwa ushauri zaidi waone wataalamu wa magonjwa ya Amina mama.
Mkuu sijui ulikuwa na haraka gani, inaelelea ulikuwa na maana nzuri ila ulichokiandika nadhani unaelewa mwenyewe tu
Mmh,... Sindano anachoma Mwanamke au mumeShida ipo ndugu ingawa inawezekana isijitokeze kwa mimba ya kwanza ila inashauliwa kuchoma sindano inayoitwa Ant D. Mfano mzuri ni Mimi mwenyewe mke wangu zimeharibika mimba mbili kwasababu ya kuwa na kundi la damu o+. Saizi nimechoma hiyo Sundano baada tu ya Kuwa ameshika mimba. Kwahiyo nakushauri ni vizuri akachoma hiyo sindano wiki ya 28 na baada ya mtoto kuzaliwa apimwe kundi LA damu kama atakuwa na rhesu + itabidi achome sindano nyingine kwaajili ya mimba zitakazofuata. Kwa ushauri zaidi waone wataalamu wa magonjwa ya Amina mama.
Hapana, tatizo ni mama anapokuwa na blood group lenye rhesus negative.Mimi ni 0+ na mume Wangu niA+ Ila tumepoteza mimba mbili za miezi minane watoto wa kiume wa tatu ndio nikapata wa kike je pia ni tatizo la blood group
Sindano anachoma mwanamke, ila ni vizuri mwanaume uwe bega kwa bega na mkeo au mwenza wako ili kufahamu zaidiMmh,... Sindano anachoma Mwanamke au mume
Hapana, tatizo ni mama anapokuwa na blood group lenye rhesus negative.
Ni kweli kwa watanzania tulio wengi gharama ni tatizo, sehemu nyingi zenye huduma hii wanatoa kwa laki moja na nusu hadi laki 2Mlio tangulia kuongea, mko sahihi nyote...... Kwa mimba ya kwanza hakutakuwa Na tatizo lolote ila mimba zitakazo fuata ndio tatizo
Kupunguza Risk ya kupoteza mimba zitakazo fuata itabidi Mama achome sindano inayo itwa ANTI D, ila gharama zake sasa Duuuh
Kumbe wewe ni MeHata mimi niliambiwa hivo hivo mke wangu ana Damu Group 0- mimi nina O+ nikaambiwa wa kwanza hatapata ttzo ila huyu wa pili itakuwa shida ila bado sijammimba nasubiri huyu wa kiume akue
Ni nzuri sana kaka ila kwa mtu Wa kipato cha kawaida ni ngumu sana kuipata, inagharimu mpaka laki mbiliNi kweli kwa watanzania tulio wengi gharama ni tatizo, sehemu nyingi zenye huduma hii wanatoa kwa laki moja na nusu hadi laki 2
tatizo hamsomi Username Friday unajua ni frida Viagra zitawauaKumbe wewe ni Me