Nikasomee nini kwa matokeo haya?

Nikasomee nini kwa matokeo haya?

Kasome ija law coz upo gud in English au community development pale mipango .usiende business iyo f ya math pia ujasoma bk ma commerce kabisa nitakupa ngumu
 
Nimesoma art na nimepata 4 ya 28 yaan
Eng c
Kiswah c
Geog d
Hist d
Civ f
Math f
Na bios d
Nikasomee nn ili nihikomboee au niende chuo gani ili nifanikiwe msaada tafadhaliiii
Nitafute kwa 0716229409 ( saa za kazi yaani kuanzia saa Mbili asubuhi hadi saa Kumi jioni. Nitakupa ushauri uupime halafu uamue.
 
Ivi jamani ukiwa na c 4, D 3 na f moja combi ijijabalance je A level utaenda embu naombeni ushauri apo
 
Ivi jamani ukiwa na c 4, D 3 na f moja combi ijijabalance je A level utaenda embu naombeni ushauri apo
Kama kombi hazijabalance hapo huwezi kuchaguliwa shule za government, ila kama nia yako ni kusoma advance basi inabidi uende private school, huko unaweza kusoma
 
Back
Top Bottom