Recent content by machaedo

  1. machaedo

    Rotary Club na Rotary International

    Jamaan naomba kwa mwenye ufaham na hii
  2. machaedo

    Enzi za Magufuli watu walijenga nyumba, sasa hivi watu wananunua vyakula

    Huu wakati watu walijenga , sio kwa sababu ya hela, No ni kwasababu walikuwa hawana uhakika na Kesho yao.. #WakatiWaJkwatuhawakuwaWaoga
  3. machaedo

    Nitazidi kuongea hata kama mkiniita tapeli

    Sorry bro, Bitcoin hiyo ilipanda straight au ilikuwa inapanda nakushuka?? Means katika upandaji wa hiyo Coin kuna watu walipoteza pesa pia
  4. machaedo

    Inakuwaje Daktari wa Binadamu (MD) anakabidhiwa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia?

    Uongozi huwa sio Taaluma, ulimuona ummy mwalimu alivyo fiti kwenye wizara ya Afya ingali ni Mwanasheria.
  5. machaedo

    Mwenye text book hizi

    Nashida na kitabu cha Epidemiology Manual CDc na Environmental Health for East Africa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. machaedo

    Ebola

    Mmmh Sent using Jamii Forums mobile app
  7. machaedo

    Ebola

    Kwann virus vya Ebola vinaweza kukaa mpaka Miaka Mitatu kwenye Semen ( Shahawa) baada ya Mgonjwa kupona ... Na huweza kuambukiza kwa Sex ingawa hawez kujiambukiza mwenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  8. machaedo

    Nisaidieni jamani! Kichwa kinauma sana, mpaka nahisi kufa

    Duuuuh... Sasa nikiandika Dawa hapa ... Dukani patakua karibu kweli? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. machaedo

    Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Watu wamesoma private school kwa msaada... Na unakuta kabla hajamaliza msaada unakata... Sasa huyu pia hana haki
  10. machaedo

    For JamiiForums Mobile users

    [/RED]niajee
  11. machaedo

    KUSOMEA UDAKTARI

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1241]
  12. machaedo

    KUSOMEA UDAKTARI

    Je! Naweza kusoma udaktari kwa kutumia cheti cha diploma ya Environmental Health Science?
  13. machaedo

    English learning thread

    No lets start brother
Back
Top Bottom