kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,182
- 12,286
Kwani hastahili? Ama unamjua kijuu juu tu...Ya Hoyce Temu kupewa Ubalozi???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hastahili? Ama unamjua kijuu juu tu...Ya Hoyce Temu kupewa Ubalozi???
Mbona adi sasa vifaa vya ujenzi bado vinazidi kuwa juu basi mshauri mama hapunguze bei.Kawadanganye wajinga ,kipindi cha magufuli unajengaje wakati bei ya bati juu,nondo juu misumari juu, cement juu vyakula ndio usiseme
Nasikia mwezi wa tatu wamekusanya 500bil na mwezi wa nne 620 bil.Wizara ya fedha wataona aibu kutangaza mapato kwa mwezi maana yatakuwa yameshuka sana eznzi za magu trilion 2 kwa mwezi sasa hivi inaweza kuwa bilion 800hadi trilion 1 tu
Unataka hasiseme ukweli tuliza kipwipwi.Hili jamaa utakuta limefukuzwa sebuleni na bibi yake likalale kwasababu kesho shule, limeingia chumbani kuandika huu uzi ilimradi likere na kutafutia watu ban JF, halafu huko lilipo kitandani linacheka hovyo kama juha.
Hivi una kichaa au? Nyumba zipi unaongelea au za milele? Nahisi unatafutia watu ban humu.Enzi za Magufuli kazi zilikuwa nyingi watu wakajenga Sana ila tokea mama Samia suluhu awe Rais Basi Kasi ya ujenzi imeshuka sana.mtu anaona kuliko milioni tano yake aipeleke kwenye mambo ya ujenzi hata Kama Ni kanyumba Cha kupangisha Ni Bora akanunua mazao ya chakula Kama vile ulezi n.k ili yaje yamsaidie baadae maana unaweza ukajenga na still ukabakia maskini Ni heri uweke store vyakula.kifupi hali sio hali wakuu tazameni Sana kwa jicho la ukaribu.
Naona unaongea vice versa Ila wacha nikujibu kwa jinsi ulivyoandika tufanye ni kweli basi.Enzi za Magufuli kazi zilikuwa nyingi watu wakajenga Sana ila tokea mama Samia suluhu awe Rais Basi Kasi ya ujenzi imeshuka sana.mtu anaona kuliko milioni tano yake aipeleke kwenye mambo ya ujenzi hata Kama Ni kanyumba Cha kupangisha Ni Bora akanunua mazao ya chakula Kama vile ulezi n.k ili yaje yamsaidie baadae maana unaweza ukajenga na still ukabakia maskini Ni heri uweke store vyakula.kifupi hali sio hali wakuu tazameni Sana kwa jicho la ukaribu.
Alikuwa mnyanganyiKama haukuwa mwizi! Kwa nili ulikuwa unaficha pesa??
Huu wakati watu walijenga , sio kwa sababu ya hela, No ni kwasababu walikuwa hawana uhakika na Kesho yao..Enzi za Magufuli kazi zilikuwa nyingi watu wakajenga Sana ila tokea mama Samia suluhu awe Rais Basi Kasi ya ujenzi imeshuka sana.mtu anaona kuliko milioni tano yake aipeleke kwenye mambo ya ujenzi hata Kama Ni kanyumba Cha kupangisha Ni Bora akanunua mazao ya chakula Kama vile ulezi n.k ili yaje yamsaidie baadae maana unaweza ukajenga na still ukabakia maskini Ni heri uweke store vyakula.kifupi hali sio hali wakuu tazameni Sana kwa jicho la ukaribu.
Mlikuwa mnaaminishw mapato sioni 2 wakati kukusanya trioni 1.Wizara ya fedha wataona aibu kutangaza mapato kwa mwezi maana yatakuwa yameshuka sana eznzi za magu trilion 2 kwa mwezi sasa hivi inaweza kuwa bilion 800hadi trilion 1 tu
Wajane wa dhalim wacheni kelele zenu kama vipi mfuateni.Enzi za Magufuli kazi zilikuwa nyingi watu wakajenga Sana ila tokea mama Samia suluhu awe Rais Basi Kasi ya ujenzi imeshuka sana.mtu anaona kuliko milioni tano yake aipeleke kwenye mambo ya ujenzi hata Kama Ni kanyumba Cha kupangisha Ni Bora akanunua mazao ya chakula Kama vile ulezi n.k ili yaje yamsaidie baadae maana unaweza ukajenga na still ukabakia maskini Ni heri uweke store vyakula.kifupi hali sio hali wakuu tazameni Sana kwa jicho la ukaribu.
Wacha hizo! nyumba nyingi zilijegwa awamu ya nne pamoja na mapungufu yake.Enzi za Magufuli kazi zilikuwa nyingi watu wakajenga Sana ila tokea mama Samia suluhu awe Rais Basi Kasi ya ujenzi imeshuka sana.mtu anaona kuliko milioni tano yake aipeleke kwenye mambo ya ujenzi hata Kama Ni kanyumba Cha kupangisha Ni Bora akanunua mazao ya chakula Kama vile ulezi n.k ili yaje yamsaidie baadae maana unaweza ukajenga na still ukabakia maskini Ni heri uweke store vyakula.kifupi hali sio hali wakuu tazameni Sana kwa jicho la ukaribu.
Mbona kama kinyume chake?Enzi za Magufuli kazi zilikuwa nyingi watu wakajenga Sana ila tokea mama Samia suluhu awe Rais Basi Kasi ya ujenzi imeshuka sana.
Mtu anaona kuliko milioni tano yake aipeleke kwenye mambo ya ujenzi hata Kama Ni kanyumba Cha kupangisha Ni Bora akanunua mazao ya chakula Kama vile ulezi n.k ili yaje yamsaidie baadae maana unaweza ukajenga na still ukabakia maskini Ni heri uweke store vyakula.
Kifupi hali sio hali wakuu tazameni Sana kwa jicho la ukaribu.
Hawa ndio wale wanyongeNdani ya miezi miwili umeshaanza kuhukumu. Tulia mama ajenge mifumo ya kuboresha maisha ya watu
Kama ni pesa halali , haina shida hata kama zimeshuka,Wizara ya fedha wataona aibu kutangaza mapato kwa mwezi maana yatakuwa yameshuka sana eznzi za magu trilion 2 kwa mwezi sasa hivi inaweza kuwa bilion 800hadi trilion 1 tu
Trillion mbili ambayo ilikuwa inaharibu uchumi wa watu,no wawekezaji,kukamua wafanyabiashara hamna kipindi amabcho wafanyabiashara wameteseka Kama kipindi cha maguWizara ya fedha wataona aibu kutangaza mapato kwa mwezi maana yatakuwa yameshuka sana eznzi za magu trilion 2 kwa mwezi sasa hivi inaweza kuwa bilion 800hadi trilion 1 tu
Kwa namna Hali inavyokwenda sidhani Kama kutakuwa na unafuu kwa wanachi walio wengi...subiri utaona miezi sita ujao...ndipo mtaona kuwa JPM alikuwa geniusNdani ya miezi miwili umeshaanza kuhukumu. Tulia mama ajenge mifumo ya kuboresha maisha ya watu