Recent content by Mac B May

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya ACACIA yaipa serikali notisi ya kwenda mahakamani

    One of my friend (Ghanian) once told me, he said "When the going gets difficult your President will be left to stand alone. We sometimes don't support our leaders when the going gets difficult" I'm beginning to see that now, kinachosikitisha zaidi ni kwamba tumeanza mapema sana kutawanyika...
  2. M

    JamiiForums Tanzania TWAWEZA: Idadi ya wanaomkubali rais Magufuli yashuka kutoka asilimia 96 hadi 71 mwaka huu

    Jamani tumuache mzee wa watu atekeleze majukumu yake, ikifika 2020 kama unamkubali utampigia kura kama humtaki piga kura kwa mwingine unaemtaka, mengine haya porojo tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania ACACIA: Hatujafikia makubaliano yoyote ya kuilipa Tanzania

    Katika hii dunia ni mtu mweusi peke yake mwenye uwezo wa kutupa jamvi lake kisa ameahidiwa kupewa godoro na jirani yake. Hii inaumiza sana ndugu yangu. Ngoja tusubiri uone ikitokea zoezi hili likaenda tofauti na matarajio yetu ikashindikana sisi kulipwa au tukalipwa kiasi kidogo tofauti na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania ACACIA: Hatujafikia makubaliano yoyote ya kuilipa Tanzania

    Watz hata kiswahili chetu wenyewe huwa mara nyingi hatukielewi Rais alisema wamekubaliana baada ya timu zote mbili kukaa na kupitia kifungu kwa kifungu report zote 2, chochote kitakachokuwa kimeafikiwa na tim zote mbili barick wako tayari kulipa kwahiyo kinachotangulia ni upitiaji wa report hizo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania IKULU, DAR: Rais Magufuli afanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Prof. John L. Thornton

    Big up Mr President, many thought it was impossible but you proved them wrong
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hebu tuwe wakweli, hivi Wabunge wanataka kumpongeza jpm kwa mafanikio yapi?

    Kiukweli bro Tz ina mauzauza mengi sana ukisema ushughurike nayo yote kwa pamoja kwanza inawezekana ukashindwa kujua ushike kipi uache kipi, uozo ni mkubwa unahitaji mahali pa kuanzia, acha niamini kwamba hata ishia hapo tu ila huo ni mwanzo. Makosa tuliyofanya miaka 30 iliyopita haiwezekani...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hebu tuwe wakweli, hivi Wabunge wanataka kumpongeza jpm kwa mafanikio yapi?

    Nafikiri swala hilo mimi binafsi naliona limekaa ki diplomatiki sana kuliko kiuhalisia ktk mtazamo ufuatao; 1. Huwezi kumdai mtu deni kubwa kiasi hicho harafu mapema hata kabla hajakubali kukulipa ukamuahidi kumfukuza mara baada ya kukulipa tu. Hatafikiria kukulipa badala yake atafikiria...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hebu tuwe wakweli, hivi Wabunge wanataka kumpongeza jpm kwa mafanikio yapi?

    Mimi binafsi nampongeza kwa hatua alizochukua za kuzuia mchanga usisafirishwe mpaka hapo mgogoro huu utakapotatuliwa. kiukweli ktk viongozi waliopita walifanya tafiti na report ziliandikwa lkn hakuna aliyethubutu hata tu kupokea report hizo hadharani Magu atakua kiongozi wa kwanza kufanya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hebu tuwe wakweli, hivi Wabunge wanataka kumpongeza jpm kwa mafanikio yapi?

    Hata mimi nakubaliana na wewe ila nahisi kama angesema hataki majadiliano yoyote na hawa wawekezaji bado tungesema anajishtukia kwakuwa hataki kusikiliza upande wa pili, wengine tungemuita dikteta na mtu asiyekubali kushaurika. All in all hata kama mtu amekufanyia unyama kiasi gani kumpa nafasi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania ACACIA wapinga vikali Matokeo ya Kamati ya pili ya Rais

    Hawa jamaa wanapinga utafiti wetu wanasema hauna ushahidi wa kutosha wakati wao hawajaweka hadharani ushahidi wao wanaodai unatosheleza sasa hapa mbona wanatuacha mataani?
  11. M

    JamiiForums Tanzania ACACIA wapinga vikali Matokeo ya Kamati ya pili ya Rais

    Kutawaliwa huwa kunaanzia mawazoni ndugu yangu. Utumwa wa watz unekomaa inafika hatua kila aliyesoma ndio anakuwa na hali mbaya zaidi kuliko asiyesoma mlolongo wa watz waliosaini mikataba wote ni wasomi. Na hata sasa wanaowatetea wawekezaji ni wasomi tena waliobobea can u imagine. Ukoloni...
  12. M

    JamiiForums Tanzania ACACIA wapinga vikali Matokeo ya Kamati ya pili ya Rais

    Ha ha ha Lissu mwenyewe tunaemtegemea anaogopa kushtakiwa tukimpeleka huyo front si tushashindwa hata kabla ya vita
  13. M

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania: Ndege iliyonunuliwa imeharibika, mainjinia zaidi ya 50 waneshindwa kutengeneza

    Tusaidie na source ya hii taarifa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka: Maafisa wa TMAA walipewa hela ili Smelter isijengewe Tanzania

    Na kila project ambayo inalenga kutufanya tuwe independent economically utasikia wanasema (not economically viable) na hapo ukitafuta fund toka kwao kwa project hizo hupati ngó. Kwasababu wanajua kesho utakua na jeuri ukisema unataka kujitegemea. Wako tayari kukununulia madawati kukujengea shule...
Back
Top Bottom