Recent content by mabwepand

  1. M

    Mbeya-Mkoa unaolima kahawa lakini hawanywi kahawa

    Ww kahawa IPO nenda town karibu na Airtel jengo la kanji lalji kuna Cafe moja matata inaitwa Ridge cafe unapata kahawa ya kimataifa kaptichno na zingine
  2. M

    Kahawa kutoka Tanzania yauzwa katika Mgahawa wa kifahari, Milan Italia

    Kaka Suala hili la kahawa si kama unavyofikiri ni biashara ambaye wanafanya watu wenye hela zao a wako makini sana kuangalia ubora na si wingi wa kahawa uliyonayo unachoona hapo hao sturbacks mwaka huu wamejitoa kununua kahawa ya Tanzania hiyo ni ambaye makampuni yaliwekeza huko nyuma Kwa...
  3. M

    Ni kijiwe kipi kizuri cha kahawa ndani ya Dar unaweza pata kahawa nzuri?

    NENDA POSTA KARIBU NA SOFIA HOUSE AU HOLIDAY IN KUNA KIJIWE KIZURI KINAITWA RIDGE CAFE UNAPATA KAPUTCHINO MOJA BALAA NA HUDUMA NZURI
  4. M

    Kauli za Lissu zimepuuzwa na Wafadhili

    Kaka ziara ya Bill Gates Tanzania ni tofauti sana na unavyofikiri ww upo kisiasa sana ila Bill Gates ana miradi mingi anaifadhili Tanzania hususani sector ya Afya na Kilimo kupitia shirika lake la Bill and Melinda wanatoa hela kupitia NGO kibao Tanzania na Taasisi nyingi sana hiyo ndio alikuwa...
  5. M

    TRA yaikadiria ACACIA deni la Tsh. Trilioni 425.4 kama Malimbikizo ya Kodi

    Da tupambane tupate hela zetu Magu Go Go GO GO GO
  6. M

    Naenda Kigali, ni sehemu gani nzuri za kupumzika?

    Kaka yote mawili kula bata na kazi nitakuwa na ten days pale.Mtu ananipatie hotel zao na vyakula pamoja na wadada wazuri huko kingereza au kiswahili sijui french mm au kinyarwanda
  7. M

    Naenda Kigali, ni sehemu gani nzuri za kupumzika?

    Wakuu naelekea kigali sehemu gani hatari na za kula bata pamoja na upepo mwanana na maisha ya kule vipi
  8. M

    Tax on rental income

    Hapo inatategemea makubaliano yenu wewe na mpangaji,Kwanza kama atakuwa analipa Withholing tax kabla ya Kodi au baada ya kodi ila kwa Mujibu wako ni hivi Mkataba ni miaka mitano kwa TZS 12M kwa mwaka hapo inatakiwa ukatwe asilimia 10 ambayo ni TZS 1,200,000 kwa mwaka na kwa miaka mitano hiyo...
  9. M

    LAPF, PSPF, PPF, GEPF, NSSF ipi ni bora katika kuwa mwanachama

    Kiukweli,nataka nikwambie tuache unafiki NSSF weka pembei wala usijaribu kujiunga kabisa ni shida tena shida wakati unataka kuchukua mafao yako na yanakuwa kidogo sana ila nakuomba ingia LAPF hutajuta na wana formula nzuri ya ukokotoaji mafao inapishana kidogo na PSPF.Muhimu LAPF mkuu na...
  10. M

    Mashine ya kufulia nguo inahitajika

    Mkuu nataka kwa ajili ya biashara halafu complete laundry na dry cleaner units kama ilivyo bei yake kamanda wangu.Pamoja na kupiga pasi na mashine ya kusafishia maji
  11. M

    Mashine ya kufulia nguo inahitajika

    Thanks mkuu wangu ila nataka nifikiria kuanzisha Dry Cleaners sasa nataka kujua zipi nzuri na ukubwa wake inakuaje.
  12. M

    Mashine ya kufulia nguo inahitajika

    Naombwa kujulishwa mashine ya kufulia nguo Gharama yake na zinapatikana wapi hapa tanzania.
  13. M

    Makato katika mifuko ya hifadhi ya jamii

    Makato ya mifuko ya hifadhi ya jamii hukatwa ifuatavyo kisheria inatakiwa ukatwe kwenye Basic Salary bila kuwepo na allowance nyingine kama Overtime,housing nakadhalika,hiyo ndivyo makato hukatwa lakini mwajiri wako akiwa ni mwema kwako Basi huchanganya na allowance zako hizo ili uweze kuwa na...
  14. M

    Technologia ya vyombo vya dola vya ufaransa

    Hapo naona kutakuwa na programu maalum kwa ajili ya vitu kama hivyo na wale jamaa wakati wanaingia kwa gari walikuwa wamevaa gloves kwenye mikono yao hivyo ni viashiria kuwa ni vigumu kuacha alama za vidole,hii inaonyesha technologia kwa wenzetu iko juu sana na wamejipanga kwa matukio ya...
  15. M

    Technologia ya vyombo vya dola vya ufaransa

    Nimefuatilia kwa karibu tukio la ufaransa ila kilichonishangaza hawa jamaa walifanyaje hadi kuona sura za wale vijana wakati walikuwa wamevaa kininja please mwenye uelewa wa technology ndani ya masaa machache tayari walitoa picha zao bila ya vijana kutarajia. Tafadhali wenye uelewa kidogo
Back
Top Bottom