Mtimti
JF-Expert Member
- Feb 23, 2008
- 942
- 647
hawakua na tech yeyote,mmoja alisahau ID ndani ya gari,nikipata mda ntaiweka hapa hiyo id,kisha wakamtambua yuko kwenye database zao,kisha wakajua ana ndugu yake ambae nae alikua anamiss,toka hapo haikua kazi kupata picha kwani walikwenda kupekua kwao.
Hakuna alieacha ID kwenye gari. ...kilichofanya wakagundulika ni vidole na DNA. .....mdogo mtu ameshakaa rumande kwa miezi kama minne kwa sababu ya mambo haya ya kigaidi kisha akaachiwa. ...kaka mtu nae amewahi kukamatwa na police. .......picha tulizoziona kwenye tv ni picha ambazo zikishatoka kwenye magazeti mwaka 2007