Recent content by Mabuya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    nakuunga mkono mama anauwezo uliza mtu yeyote aliye wahi kwenda kusahisha mtihani wa taifa wakati wa uongozi wake. hakukuwa na masihara na pia kuwa necta anaijua elimu yetu vizuri kuanzia msingi hadi a level kupitia majukumu yake pale necta. Elimu ya chuo nayo anaijua vizuri kwa kuwa muhadhiri...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wonderful architecture buildings

    architects wetu ni copy and paste
  3. M

    JamiiForums Tanzania Aliyemshambulia Dr. Stephen Ulimboka ni huyu...

    "liwalo na liwe " Mizengo Pinda 27 juni 2012 kwenye bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania "Sasa hata hatujazungumza wameanza kutangaza mgomo, sasa afadhali tuzungumze kwanza maana mgomo una kasheshe zake, mkigoma hamtaachwa, askari watawapiga virungu na hata wengine kuweza kupoteza maisha...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mkombozi Bank;Ni sahihi kutumia Mpemba ktk tangazo la biashara ?

    dah hajui wapo kina kibela wana hisa mkombozi bank sasa waweke wapi hela zao kama sio mkombozi bank walipowekeza
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Godbless Jonathan Lema

    Dr Balali alikuwa na PHD na marehemu rais Samora Matchel wa Msumbiji alikuwa na elimu ya kawaida hebu linganisha hao wawili...La muhimu ni utumishi uliotukuka mwisho fuatilia elimu ya Abraham Lincolin na Jacob Zuma
  6. M

    JamiiForums Tanzania Arumeru mashariki: Halima Mdee apiga below the belt

    siasa chafu ndo matokeo yake upo kwenye nyumba ya kioo unajiona upo safe
  7. M

    JamiiForums Tanzania MORE PRESSURE: CDM Wasiposhinda Arumeru East Uongozi mzima wa Taifa LAZIMA Ujiuzulu

    hata mimi naunga mkono waachie ngazi wakishindwa arumeru uchaguzi wa mwisho
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Blandina Nyoni zinavyofanya ufisadi serikalini

    ana saluni moja posta nshaambiwa dear naomba hela ya salon kwa mama nyoni ndo best hapa Dar 20000 kusafisha nywele
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais hajaidhinisha posho za wabunge!

    Raisi aongee tumskie anapinga usishangae badae akisema mimi sikuwaagiza kurugenzi ya mawasiliano bada ya kusikia mziki wa wabunge mbona nilisha saini toka mwaka jana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bunge Lijadili Hoja ya Dharura kuhusu Mgomo wa Madaktari

    Hajamaa hawapo makini katuma ujumbe wa kwanza una waziri na naibu wizara ya afya na waziri wa utumishi wa umma kaja Pinda na ujumbe una waziri afya,ulinzi ,utumishi na mambo ya ndani. Mgogoro unahusu masilahi lakini kwenye mazungumzo waziri wa fedha hayupo .Matokeo yake badae waziri wa fedha...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Zitto Kabwe apelekwa India kwa matibabu zaidi

    Muhimbili wanasema ni kwa ajili ya first aid matibabu zaidi nenda Appolo Viongozi wa Tanzania Hospital (AVTZ)
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mkataba mwingine wa kijinga: Liganga na mchuchuma

    wachina wa siku hizi sio kama wa wakati wa Mao kwanza ndo wnaongoza kwa migogoro ya ajira in short wanyonyaji rais Sata wa Zambia alishasema atawafukuza akichukua madaraka .Tusubiri tukiwa na uwezo tuchimbe wenyewe nenda China kama watakupa hata 1%
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wakomaa: Ngeleja, Jairo watakiwa kuondoka; Pinda ataka mjadala uahirishwe kwa siku 21

    jamani wote watatu Ngeleja ,Malima & Jairo wajiuzulu... jamaa hawan uwezo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wilson Mukama: Public and Private Profile

    ameharibu mbaya pale afya hakuna kitu hapo
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CCM na Uongozi mpya, habari mpya

    anatakiwa wajivue gamba na mawaziri pia Ngeleja,Mwinyi,Sophia Simba..... watoke
Back
Top Bottom