Hata Mimi niliwahi Iona ila sikumbuki jina lake! Inasikitisha sana yule mzee alipo mwona mtoto kafa alilia sana then yule dada akapita katikati Yao kama ajui chochote akaenda zake!
Swali la kizushi! Je unafikiri zile DINI na Ustaarabu wetu wa kutambika kwenye mibuyu na kuruka na nyungo usiku tu zingetufikisha hapa tulipo sasa in terms of Science and Technology? Huo ukoloni na DINI tunazozipinga ndio zilitutoa tongotongo! I stand to be corrected....

Umesikini mbaya hata kama unaudhuria vp huna Hela hata hao wachungaji na mapadre wanakunyanyapaa sembuse ukifa? Ngoja Sasa wakuone una Hela uone watavyokushobokea.... No uongozi wa kanisa utalazimishwa! Sasa kanisa limekuwa biashara kama biashara nyingine!
Kuna group Moja la Whatapps nipo Kuna jamaa kutuma namba akisema anaprint EFD receipt online au anakuuzia software then una print mwenyewe kutumia cm Yako! Na zinasoma TRA kama zilizo printed na machine iliyokuwa registered TRA. Sijajua kama hichi kitu na sawa au Magumashi!
Kama Kuna Mtaalamu...
Kwa nini Adam kabla ya kula tunda hakwenda kumuuliza Mungu? kwamba mbona Nyoka kamwambia Eva kwamba wakila lile tunda watakuwa kama Mungu? Hapo ndio mara nyingi wanaume tunapofeli kawaamini sana wake zetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.