Recent content by Mabodya2023

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mkeka wa usaili kwa jeshi la zimamoto unatoka lini?

    Mmmh! Sio kweli kabisa.. Yaan ata usahili haujafanyika, hao walifika Tanga wameenda lini.. Au unazungunzia walioitwa zamani
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mkeka wa usaili kwa jeshi la zimamoto unatoka lini?

    Wakuu naomba kufaham kwa yeyeto ambaye amepata tetesi au anajua ni lini PDF la usahili wa ZIMAMOTO linatoka. Dogo langu aliomba nafasi sasa ila Siku zinasongea hatuoni mrejesho. Mwisho japo si kwa umuhimu: wanatarajia kwenda depot mwezi gani?
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimfanyaje huyu?

    KULA NYAMA NYAMAZA
  4. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna viashiria vya Rushwa katika mchakato wa kuomba ajira Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe

    Wewe ata ukipewa kazi unaonekana utakuwa mnoko sana.. Kimbelembele sana.. Nashauri na wewe ukatwe
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Wa kozi ya Occupational Health and Safety

    Pole kwa kuchelewa kuona, Diploma ya OSHA inatolewa na chuo kimoja tu Tanzania kipo bunju B. Link ya website ya chuo Institute of Environment, Climate and Development Sustainability www.ieds.or.tz Pole kwa kuchelewa kuona, Diploma ya OSHA inatolewa na chuo kimoja tu Tanzania kipo bunju B. Link...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Safety Officer

    Ulifanikiwa ?? (Sema ukweli usitake yote kwa pupa)
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, elimu Bcs Environmental Health Officer & Health and Safety Officer expert (HSE)

    Ndugu ulifanikiwa kupata kazi popote?
Back
Top Bottom