Nimfanyaje huyu?

Nimfanyaje huyu?

Daaah pole sana..
Huyo ana mtu wake tena ni mwanajeshi yupo kozi flani arusha nahisi..

Wee uchukuage simu yake kisha angalia whatsap text zake.
Utaniamini..😂😂😂😂😂😂

Unakua cyber alafu mambo madogo kama hayo yanakushinda mkui
 
Kama Kuna kaukweli Fulani😔
 
Wasalamu wapendwa, mabibi na mabwana ! Itifaki imezingatiwa.
Niende Moja kwa moja kwenye mada

Kuna Binti namtongoza Sasa ni mwaka umepita, majibu yake ni kuwa ana mwanamme. Lakini hakosi kunitafuta,Kuna kipindi Huwa namsusa lakini utakuta kanitafuta na kunilaumu kuwa simtafuti naishia kumwambia niko busy. Tunaendlea kuchati namtongoza Tena majibu yaleyale ana mpenzi.

Wiki mbili zilizopita kaanza kuniita baby,baby, namwitikia tunachati tu, X-mas nmemtoa out huyo kaja nkamnunulia nguo, na urembo mbalimbali apendeze .

Jana nmemtongoza Tena, majibu yakawa vilevile, ana mtu labda niwe mchepuko, nkakaushia. Kanipigia mchana kanipa hai, jioni hii pia kanicheki kuwa anaumwa ,kauliza nmekula? na blaa nyingine.

Naombeni mbinu, za kumpata mazima ,nataka nimuoe kabisa,ndo mana simpotezei sana, nisaidieni mbinu zozote Ili nipunguze matumizi ya maneno. Hapigi mizinga hata out nmeamua mwnyewe, hata Masai mwenye zile dawa anicheki inbox .
jibu lipo wazi mvalishe pete ya uchumba na ukatoe posa kwa so simple
 
Au nikupe story ya hassan😂😂😂😂

Oyaa weee oyaaa weeee🎶🎶🎶
Foshizo shika shika. Weeeeeeeeh🎶🎶🎶

Oyaa wahuni niwape story ya hassan,
Oyaa wahuni niwape story ya hassan,
🎶🎶🎶
Hassan huyu huyu hassan mtoto wa jirani,🎶🎶🎶

Juzi kati kafumwa na mke wa jirani,
Kufa au kubakwa kaulizwa achague nini,🎶🎶🎶

Hassani amepona nauliza amefanywa nini.......🎶🎶🎶🎶🎶
 
Wasalamu wapendwa, mabibi na mabwana ! Itifaki imezingatiwa.
Niende Moja kwa moja kwenye mada

Kuna Binti namtongoza Sasa ni mwaka umepita, majibu yake ni kuwa ana mwanamme. Lakini hakosi kunitafuta,Kuna kipindi Huwa namsusa lakini utakuta kanitafuta na kunilaumu kuwa simtafuti naishia kumwambia niko busy. Tunaendlea kuchati namtongoza Tena majibu yaleyale ana mpenzi.

Wiki mbili zilizopita kaanza kuniita baby,baby, namwitikia tunachati tu, X-mas nmemtoa out huyo kaja nkamnunulia nguo, na urembo mbalimbali apendeze .

Jana nmemtongoza Tena, majibu yakawa vilevile, ana mtu labda niwe mchepuko, nkakaushia. Kanipigia mchana kanipa hai, jioni hii pia kanicheki kuwa anaumwa ,kauliza nmekula? na blaa nyingine.

Naombeni mbinu, za kumpata mazima ,nataka nimuoe kabisa,ndo mana simpotezei sana, nisaidieni mbinu zozote Ili nipunguze matumizi ya maneno. Hapigi mizinga hata out nmeamua mwnyewe, hata Masai mwenye zile dawa anicheki inbox .🙏
Kosa la kwanza unalofanya ni kuendelea kumtongoza demu ambae kiuhalisia alishakukubalia siku nyingii...

Mwanamke akishakubali kutoka na wewe out na kuspend mda na wewe, huyo kashakubali kwa asilimia zaidi ya 60. Tatizo lako unataka mpaka akuambie

"SAWA NIMEKUBALI" Mzee hapo utasubiri sana.
Hapo inatakiwa ujanja kidogo sana kumla wala huhitaji kuongea nae chochote tena.
 
Uwongo
 
Back
Top Bottom