Recent content by mabiki

  1. M

    JamiiForums Tanzania Only U MY frIend

    Which friend can give u a wife?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kiherehere Kibayaa!

    Uroho huo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Kila goti litapigwa Mama yoyoo God's the first
  4. M

    JamiiForums Tanzania Aina za upara

    Watu wengi wanasema wa hela
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni kipindi gani cha maisha kimekuwa kigumu kwako

    Hivyo maxima upigine ili hiyo hali isikurudie
  6. M

    JamiiForums Tanzania Aina za upara

    Unaposema upara wa chini au juu una maana gani,sababu mimi sielewi aina za upara ndo maana nikaaukiza kabanga
  7. M

    JamiiForums Tanzania Aina za upara

    Mimi nina upara wa mbele ya kichwa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwl nyerere

    Nasikia pia mwl nyerere katika kugombania uhuru alifungwa Tabora ni kweli. Wana history niambieni ni kweli.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Aina za upara

    Jamani kuna aina za upara. Wengine wanasema kuna upara wa hela na upara wa akili.wengine wanssema upara wa mikosi. Je hizo hizo para zinakaa wapi.wana jf nielezeni hizo para na maana zake kwa wale wanojua
  10. M

    JamiiForums Tanzania Duh huo ndo urais kweli

    Kulikuwa na ndege moja imebeba abiria wanned.ndege hiyo una parachute 4 ikapata ajali ,mtu wa 1 alikuwa ni ronaldo dilima, akachukua parachute la 1,akisema mi mchezaji maarufu bado nahitajika.abiria wa 2 alikuwa ni hillary clinton akachukua parachute ya 2 akisema bado watu wananihitaji.Abiria...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini kiswahili hakikui

    Naona watu wengi walio soma sana wakidharau lugha ya kiswahili,wakisema kuwa ni lugha duni. Hivyo basi muongozo wangu ni kwamba lazima tujisifie kwanza lugha yetu sisi wenyewe na lazima tujitahidi kuzungumza kwa lugha ya kiswahili na siyo kiswa-english
  12. M

    JamiiForums Tanzania Uhuru ni nini?

    Je kuna uhuru tz
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini kiswahili hakikui

    Kwanini wabongo tusiimarishe lugha yetu nayo iwe na hadhi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni kipindi gani cha maisha kimekuwa kigumu kwako

    Kipindi kigumu kwangu ni kile ambacho mdg wa mzee walipotea vibaya sana
  15. M

    JamiiForums Tanzania Post SMS za vichekesho na utani hapa

    Halafu wewe,mwewe
Back
Top Bottom